Dkt. Tulia unavuna ulichopanda usiwalaumu Mawaziri

Leo unawafokea mawaziri kwa sababu hawakutafuti tena ili uwasaidie kumbana Mpina bungeni asiwasumbue na kuumbua udhaifu wao na upigaji wao wa fedha za umma kwa sababu mpina hayuko bungeni.
 
Mpina ni wale wale wanaoishi na maumivu ya JPM kutokuwepo katika nafasi ya urais muda huu, hana ubora huo unaozungumzwa kwenye uzi huu.

Ni wale wale kundi la Ngudai wakiamini katika sera za hayati, wanashindwa kuuona ukweli kwamba kila nafsi ipo hapa duniani kwa muda maalum na sio zaidi.
 
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU umedharauliwa na wabunge wa IPU kutokana na kutokuwa na uwezo wa kujibu hoja zao badala yake ukaanza kupaniki kwamba umedharauliwa.

Sasa wewe ni Kiongozi gani IPU udharauliwe na sasa unatangaza rasmi kudharaulia na Mawaziri ndani ya Bunge lako hii ni kutokana na uwezo wa kuongoza huo mhimili huna na wanajua wewe unajipendekeza kwa Rais ili akutetetee kwenye ubunge na kukupa tena zawadi ya uspika.

Ulipomfukuza Mpina bungeni kwa hila kisa amewasema watu wako ambao ni mawaziri sijui unanufaika nao vipi hilo unalijua wewe kwa akili yako ukadhani unamkomoa Mpina matokeo yake umetengeneza bunge la kuwashangilia mawaziri hata kama wamekosea kwa kiasi gani.

Leo unawafokea mawaziri kwa sababu hawakutafuti tena ili uwasaidie kumbana Mpina bungeni asiwasumbue na kuumbua udhaifu wao na upigaji wao wa fedha za umma kwa sababu mpina hayuko bungeni.

Ripoti ya CAG iliyojaa kashfa lukuki za mawaziri wa Kilimo, Fedha, Ujenzi, Uchukuzi, Tamisemi nk lakini umejionea wewe mwenyewe uchangiaji wa wabunge wote kwenye mjadala wa ripoti ya CAG wamejificha kuwaulaumu wakurugenzi wa halmashauri wakawaacha Mawaziri na wakuu wa mashirika waliokumbwa na kashfa za ufisadi, HIVYO imekuwa ni vigumu mawaziri kukutafuta wewe Spika ili uwasaidie na ndio maana wamelidharau Bunge kwa sababu wanajua Mpina hayupo bungeni na hivyo kama kulikuwa na fursa yoyote unaipata kutoka kwa mawaziri umeikosa msimu huu ndio maana una paniki na kuanza kuwafokea kwa utoro bungeni.

Leo sasa bila kujua ndio utaona faida ya wabunge aina ya Mpina ambao wanaibua tuhuma nzito na mawaziri wanakimbilia kwako kuomba msaada wa kumdhibiti bungeni ili wapone sasa leo fursa hiyo umeikosa.

View: https://youtu.be/bEK__Mdc2xw?si=vM5-6FnO8MRpdt5E

Kila mmoja anajua kuwa hili bunge la machawa linaloongozwa na sppika chawa mnafik, halina maana yoyorte. Ni vikao vya kwenda kugawana posho. Sasa kama wazir ana kkao kingine cha kugawana posho, si anakuwa na uhuru wa kuamua leo akachukue posho kwenye kikao kipi?
 
Hivi kumbe Kuna bunge?Mimi niliacha kufuatilia huo mkusanyiko tangu Tulia azuie mjadala ambao ungejadili Hali ya utekaji nchini Kwa madai yake mwenyewe kuwa hakuna utekaji na wanaotekwa wanatekwa na wake zao kwa kuwaficha ndani ya nyumba.
 
Who mandated you to go Russia?

Mbunge wa Iraq
Yule muhuni aliuliza swali gumu baadae nikamfatilia nikakumbuka hawa Wairaq mmoja wapo alimpiga na kiatu Bush kwenye maswali na majibu na waandishi wa habari..
 
Back
Top Bottom