Dkt. Tulia unavuna ulichopanda usiwalaumu Mawaziri

Mmevuruga nchi sasa hamjui adui ni nani,the white water
 
Hilo bunge liloharibiwa rasmi na dhalimu magu, kwa sasa sio wabunge ama mawaziri, wote wanajua hakuna bunge bali kusanyiko la wapiga deal kupitia mbeleko ya ccm. Na huyo Spika ni mmoja ya waliochangia kuling'oa hilo bunge meno ilo kumfurahisha rais.

Kwa sasa kila mmoja kalipuuza bunge, huyo spika wa mchongo anashangaa mawaziri wamelipuuza, bila kujua yeye ni muhusika wa udhaifu huo wa bunge.
 
Bunge la machawa
 
Hahaha alitia aibu
Swali dogo kama hili dada akapaniki akajibu ambayo hajaulizwa na kuanza kusema we are not colonised akasahau haohao ndio walimpigia kura kumchagua so wana haki ya kumhoji yeye akajua yupo bunge la CCM
 
Spika TA kwa mana ya usomi wake ktk fani yake yuko vema tu ila uspika au uongozi sio saaana..ila anaweza kuwa kwenye nafasi zingine kubwa na kutumia taaluma yake akafanya vema zaidi..sio ubunge, uspika, hata uawaziri..ila ukatibu mkuu ivi nk
 
Hilo sio Bunge ni kusanyiko la wala kodi za wananchi.
 
Aisee jamaa mnasema ukweli hampindishi maneno mpaka lispika limeungua baada umeme kuzidi
 
Mtoa mada ulivokoleza sasa!!
Unaonesha una lako jambo VS Spika.
 
Crap
 
Spika Kilaza Sana. Ameliharibu bunge ngoja tuone mwisho wake.
 
Swali dogo kama hili dada akapaniki akajibu ambayo hajaulizwa na kuanza kusema we are not colonised akasahau haohao ndio walimpigia kura kumchagua so wana haki ya kumhoji yeye akajua yupo bunge la CCM

Nilimshangaa Sana. Shida kichwani hakuna kitu.
 
tulia ni akili ndogo
 
Huyo mpina unayemtetea kesi zake mbili bungeni zimeshindwa imebakia moja tu. Majungu yenu hayawezi kuwasaidia chochote kwa kuanzisha hizi nyuzi mkitafuta kuungwa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…