Dkt. Vincent Mashinji: Viongozi tumeondoka kila mmoja na siri kubwa kichwani

DAT BOY SU

Member
Joined
Nov 15, 2017
Posts
29
Reaction score
30
Ukitafakali kauli hii ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji inaleta picha na tafakuli kubwa kama sio attention kwa watu wenye akili timamu inawezekana kuwa mambo hayakuwa mazuri kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi ama mambo yalikuwa shwari tu but all in all ukweli anaujua mwenyewe na ipo siku atakuja kufafanua kauli yake hii tata.

Anachosema Mashinji ni kweli kuwa cdm ina mapungufu mengi, na huyo Mbowe ana mapungufu mengi tu, lakini yeye hakuwa msaada wowote. Akae pembeni maana hakuwa na msaada wa maana. Aende ccm ili asibaki na siri zozote moyoni.
 
Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
 
Anasubiri mpaka aondoke ndio anaanza kusema mapungufu ya alipotoka!, kwanini hakuyarekebisha alipokuwepo?, CDM ndio wamemvumilia muda wote wa uongozi wake alikuwa passive sana, alitakiwa aondoke zamani, kuanza kusema pembeni ni dalili ya kuondoka kwa shingo upande!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi chadema ni wakora,ndivyo alivyomaanisha Dr Mashinji,na ukishoboka wanakuchachawangwe
Anachosema Mashinji ni kweli kuwa cdm ina mapungufu mengi, na huyo Mbowe ana mapungufu mengi tu, lakini yeye hakuwa msaada wowote. Akae pembeni maana hakuwa na msaada wa maana. Aende ccm ili asibaki na siri zozote moyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana maana, anajua akisema hivyo ccm ndio watampa nafasi yoyote kwakuwa atakuwa na siri za cdm.
 
Kifupi chadema ni wakora,ndivyo alivyomaanisha Dr Mashinji,na ukishoboka wanakuchachawangwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyajua hayo baada ya kuwekwa pembeni? Aende ccm kwenye chama cha kupita bila kupingwa, na akiona vipi aongee na mkulu amuongezee kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, na ikibidi aombe awe kiongozi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…