Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Genge la upigaji kiaina...Tanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Genge la upigaji kiaina...Tanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Anachosema Mashinji ni kweli kuwa cdm ina mapungufu mengi, na huyo Mbowe ana mapungufu mengi tu, lakini yeye hakuwa msaada wowote. Akae pembeni maana hakuwa na msaada wa maana. Aende ccm ili asibaki na siri zozote moyoni.
Tanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Mpeni uenyekiti wa CCM maana aliyepo amefeli kuongoza chama cha siasa zaidi ya kukibadilisha kuwa jeshi.Mwambe angeshinda huyu Mashinji angeweza kufungwa kwa ubadhirifu wa ruzuku!
CCM vyeo ni vingi tofauti na hapo Ufipa!Mpeni uenyekiti wa CCM maana aliyepo amefeli kuongoza chama cha siasa zaidi ya kukibadilisha kuwa jeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Limbukeni flan hivi amazingUmebeba huo msemo wa watoto wa kusema amazing ili na ww uonekane unaenda na wakati, lakini kiukweli ww ni limbukeni fulani hivi.
Mbona unamgonga sana Dr? Kumbuka jamaa bado anaumia na kesi mahakamani sababu ya hicho chama.Aliyajua hayo baada ya kuwekwa pembeni? Aende ccm kwenye chama cha kupita bila kupingwa, na akiona vipi aongee na mkulu amuongezee kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, na ikibidi aombe awe kiongozi wao.
Hafu eti wanawadanganya wananchi kwamba wanataka dola hahahahaGenge la upigaji kiaina...
Labda la Zimbabwe!Hafu eti wanawadanganya wananchi kwamba wanataka dola hahahaha
HahahahaLabda la Zimbabwe!
Mbona unamgonga sana Dr? Kumbuka jamaa bado anaumia na kesi mahakamani sababu ya hicho chama.
Ukitafakali kauli hii ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji inaleta picha na tafakuli kubwa kama sio attention kwa watu wenye akili timamu inawezekana kuwa mambo hayakuwa mazur kipind chote cha mchakato wa uchaguzi ama mambo yalikuwa shwari tu but all in all ukweli anaujua mwenyew na ipo siku atakuja kufafanua kauli yake hii tata
Na hata chama tawala pia hakuna kuna wahuni tu,na ndio maana nchi ina wajinga wengi na maskini kibao.Tanzania hakuna upinzani....kuna genge tu la washkaji fulani amazing
Dr alikuwa mpole na mkimya Sana sijui waliomchagua huo ukatibu mkuu waliangalia nn kwa nafasi km ile yy haikumfaa labda angekuwa katibu wa chadema wilaya sio taifa vetting process haikufanya vyemaAliyajua hayo baada ya kuwekwa pembeni? Aende ccm kwenye chama cha kupita bila kupingwa, na akiona vipi aongee na mkulu amuongezee kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, na ikibidi aombe awe kiongozi wao.
Ukitafakali kauli hii ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji inaleta picha na tafakuli kubwa kama sio attention kwa watu wenye akili timamu inawezekana kuwa mambo hayakuwa mazur kipind chote cha mchakato wa uchaguzi ama mambo yalikuwa shwari tu but all in all ukweli anaujua mwenyew na ipo siku atakuja kufafanua kauli yake hii tata
Anasubiri mpaka aondoke ndio anaanza kusema mapungufu ya alipotoka!, kwanini hakuyarekebisha alipokuwepo?, CDM ndio wamemvumilia muda wote wa uongozi wake alikuwa passive sana, alitakiwa aondoke zamani, kuanza kusema pembeni ni dalili ya kuondoka kwa shingo upande!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni nani Mkamilifu? Hivi ni nani msafi?
Kwenye medani ya vita lazima kuwe na mbinu zote... Nzuri na zile zinazoweza kutafsiriwa kama chafu... Hizo siri aendelee kubaki nazo kwakuwa akizitoa sasa ataonekana mpuuzi tu... Ina maana kama angeendea na cheo andeandika haya?
Jr[emoji769]
Hivi mbowe na wengineo wangeamua kufanya hayo mnayoyataka mashinji angezuia nini? Mi nadhani kama mnaona CDM imefeli katika awamu hii, wa kulaumiwa ni uongozi mzima uliokuepo siyo mashinji peke yake. Tena mbowe na gia yake aliyoibadilisha angani imewacost sana CDM kisiasa. Lakini cha ajabu yeye ndo anaonekana shujaa kuliko wote.All in all Mashinji alipwaya sana kwenye nafasi ya katibu mkuu. Sawa kweli ana mipango lakini upole wake hauendeni na ujinga unao fanywa n aserikali hii ya Ccm. Safu iliyo ingia sasa naikubali. Ama Ccm iombe poo au hawa viongozi wawe wageni wa mahabusu kila siku. Maana hadi sasa Ccm bila polisi tayari imekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si nimeona pahali umejiuzulu siasaMwambe angeshinda huyu Mashinji angeweza kufungwa kwa ubadhirifu wa ruzuku!