Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Kosa walilolifanya CDM 2015 litawagharimu sana.
Lakini pia kuwa upinzani unahitaji kuwa na roho ya paka pia.
Wanasiasa wengi wa kitanzania wanapenda akipewa madaraka awe yeye tu asipewe mwingine haijalishi hata kama ameshindwa.
Kilichomuondoa Mashinji ni kukosa Ukatibu Mkuu ameona kama amedhalilika sana hivyo hana sababu ya kuendelea kurandaranda mitaani bila kazi.
Hili ni tatizo la wanasiasa kuona siasa ni ajira badala ya wito wa kiimani katika sera za chama husika kuwapigania wananchi.
A bunch of opportunists
Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyajua hayo baada ya kuwekwa pembeni? Aende ccm kwenye chama cha kupita bila kupingwa, na akiona vipi aongee na mkulu amuongezee kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, na ikibidi aombe awe kiongozi wao.
Sent using Jamii Forums mobile app