Dkt. Vincent Mashinji: Viongozi tumeondoka kila mmoja na siri kubwa kichwani

Dkt. Vincent Mashinji: Viongozi tumeondoka kila mmoja na siri kubwa kichwani

Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
hajawahi kufanya hata media conference hata moja kutueleza hali ya kisiasa ndani ya chama na maendeleo yake.
 
Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.



Akiwa Kwenye coma Mkuu..hahahaawa
 
nimeiona hiyo tweet ya mashinji, ni kitu tofauti na unavyotaka kuwaaminisha watu. mashinji alichosema kuwa walikuwa na kazi ngumu na wameimaliza salama wakiwa wamoja. na kuwa kila mmoja ametoka na siri yake na kkuwashukuru wote waliofanikisha uchaguzi kumalizika salama
 
Kweli kabisa..KM.Dr.Mashinji amekumbana na mengi mabaya mfano chama alichokua anaongoza kukatazwa kufanya mikutano,viongozi wa chama na wabunge kuishi jera,kukamatwa kamatwa,kubambikiziwa kesi na zaidi wanachama na viongozi kufanyiwa mabaya kuanzia kwa Ben,diwani wa Morogoro,Mh.Lissu kushambuliwa kwa risasi nk..
Yaah Dr.Mashinji ana siri na maumivu makubwa asa awamu hii ya tano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo Mimi siyo mwanasiasa au shabiki wa chadema but huyu Katibu Mkuu Mashinji ni kama tu hakuwepo kwa miaka yote kama kiongozi. Apumzike tu maana kazi hakuiweza mpaka unajiuliza kama yupo au kalazwa hospital akiwa coma.
Inawezekana hujui majukumu ya Katibu Mkuu. Katibu mkuu si mtu wa kuonekana onekana kila siku, siyo mwenyekiti wala msemaji wa chama. Ni mtendaji mkuu wa chama.
 
Huyo ni mke mpumbavu na asiyejitambua
Hata wewe akiondoka mkeo atakutangaza unakojoa kitandani mara hujui chichote ndani, lakini kabla ya hapo alikuwa anakutunzia siri maana hakuwa na na mana, kwa hiyo hayo maisha yapo tu, angeanza kubwatuka mngesema msariti mara kanunuliwa, mara ajieleze kwa nni asifukuzwe, na ndo maana alikaa kimya kuheshim kazi yake.

Jr[emoji769]
 
Dr Mashinji kasema hayo. Prof. Safari kasema hayo hayo. Mzee Sumaye kayasema hayo hayo. Mzee Lowassa alisema hivyo hivyo. Na haya yote ni ndani ya muda mfupi tu uliopita. Si maneno ya kubeza hata kidogo. Yamkini huko chadema kuna fukuta na Mbowe ni noma! Waitara aliyaeleza kwa kirefu. Matokeo yake hakika tutayaona hivi punde.
 
Ukitafakali kauli hii ya aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Vicent Mashinji inaleta picha na tafakuli kubwa kama sio attention kwa watu wenye akili timamu inawezekana kuwa mambo hayakuwa mazur kipind chote cha mchakato wa uchaguzi ama mambo yalikuwa shwari tu but all in all ukweli anaujua mwenyew na ipo siku atakuja kufafanua kauli yake hii tata
Huyu jamaa ni mwenyeji wa makumbusho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana siri moyoni mwake labda wanyama pori tu so ya Mashinji sio mapya aendelee kukaa nayo moyoni mwake labda yatamsaidia mbele ya safari,ccm tu ndio wamekwazwa na kuondoka kwake maana wanapenda katibu mkuu wa chama kama Chadema asie active kama Mashinji.
 
"Chloropyll" ndio chama pekee chenye misingi imara,
"Potassium permanganate" wanatabia ya kung'ata na kupiliza,
"Calcium carbonate" inamilikiwa na mtu mmoja pekee.
Pole sana Dr. Mashinji, hukujua kama uko na chemicals lakini bado hujachelewa, rudi uungane na chlorophyll tufanye "manufacturing process" kwa ajili ya taifa letu
 
Chadema inayoongozwa na Mbowe acheni uhuni kwenye mishahara ya watu mlipeni Dk Mashinji pesa zake. Au na nyie mmeshakuwa wahuni Kama timu ya wananchi inayosajiri wachezaji kila msimu na hawapi stahiki ya malipo yao Kama mkataba inavyoelekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hujui majukumu ya Katibu Mkuu. Katibu mkuu si mtu wa kuonekana onekana kila siku, siyo mwenyekiti wala msemaji wa chama. Ni mtendaji mkuu wa chama.
Kweli ni MTENDAJI ila kama MTENDAJI kuna yake wanatakiwa yaonekana au kusema kwa umma. Nikupe mfano tu halisi Je Bashiru ni nani? Je Kinana alikuwa nani? Je Dr Slaaa a.k.a mihogo ya kukaanga alikuwa nani? Basi huyo Vicent Mashinji ni Mashinji kwelikweli tena na PhD holder. Ila pia nisiseme sana kwa sababu planted wako wengi na inachukua muda kuwagundua. Acha akapumzike au arejee kwa aliyemtuma.
 
Ukishakuwa kiongozi lazima uwe Na siri za mambo yaliyotendeka kwenye uongozi.kama upo kwenye uongozi Na mambo yote yakaenda vizuri huo sio uongozi
 
nimeiona hiyo tweet ya mashinji, ni kitu tofauti na unavyotaka kuwaaminisha watu. mashinji alichosema kuwa walikuwa na kazi ngumu na wameimaliza salama wakiwa wamoja. na kuwa kila mmoja ametoka na siri yake na kkuwashukuru wote waliofanikisha uchaguzi kumalizika salama
Kilichomsukuma mleta mada ni neno "SIRI". Au hiyo statement kwamba " kila mtu ametoka na siri yake" yeye akataka tuamini kuwa Mashinji kabeba mambo ya kuichafua CHADEMA.
 
Back
Top Bottom