Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

Pia kuna issue ya kuwa Nyerere wakati mwingine alikuwa anatibiwa mambo ya akili, je inawezekana alikuwa "incapacitated" wakati wa kuweka saini hapa? inawezekana personal loss za huyo Dr. Kleruu iliweza kumfanya mzee wa watu akawa katika hali ya kutoweza kutoa maaamuzi akiwa timamu. Naweza nisi-substantiate hizi habari za Nyerere kutibiwa mambo ya akili ila kuna daktari mmoja wa muhimbili kipindi cha nyuma aliwahi kunigusia kuwa alikuwa na tatizo hili na familia yake wana tatizo la akili vile vile.
 
Hii ya ugonjwa wa psychosis kwenye familia ya Nyerere ni kweli nimeisikia muda mrefu sana kuwa hata mwalimu mwenyewe alikuwa na daktari wake aliyekuwa anamtibia hayo mambo, huyo daktari alikuwa anajitahidi sana mzee asije akalipuka uchizi waziwazi, na kweli alimdhibiti vizuri hali hii haikutokea. Watoto wake pia wana matatizo hayo kwa viwango mbalimbali, lakini kuna mmoja wa kiume ambaye ni tatizo kabisa (si adabu kusema "kichaa" maana huo ni unyanyapaa, lakini ama matatizo makubwa kwa kweli, hajaweza kabisa kujimudu). Lakini magonjwa ya akili n magonjwa kama mengine, yakidhibitiwa bado mtu anaweza ku-function vizuri sana katika jamii.

Hata mimi katika kufanya kwangu kazi nilishawahi kuwa na bosi mwenye ugonjwa wa akili, lakini mwenyewe alikuwa anajitahidi sana kuudhibiti kwa kuzingatia dawa na kuhudhuria kliniki, katika miaka 4 niliyofanya naye kazi "alilipuka" mara moja tu tukiwa safarini (alikuwa amesahau kuchukua dawa zake, na kabla hajalipuka alianza kuongea kama utani tukiwa kikaoni "mnanikebehi, leo nisipojeruhi mtu, bahati sana". Sisi tulichukulia maskhara tukacheka, kumbe ndio tulikuwa tunamtibua! Wakati huo tulikuwa hatijajua tatizo lake, alitunza sana siri yake!) Aliendelea na kazi na kuna wakati alipewa cheo cha ukurugenzi akahamishiwa wizara ya elimu makao makuu, nadhani sasa amestaafu. Kwa hiyo ugonjwa wa akili ukidhibitiwa vizuri bado mtu anaweza kuitumia 'potential' yake, kuchangia maendeleo ya jamii na taifa na kutimiza malengo yake ya maisha. Vichaa wengi tunaoona wakirandaranda mtaani nadhani mojawapo ya kinachochangia hali hiyo ni kukisa tiba sahihi, na wale wanaobahatika kupata tiba bado kuna tatizo la uzingatiaji (adherence) na family support.
 
Netanyahu,

Shukrani kwa maelezo yako!

Je waweza fafanua kidogo unamaana gani unaposema "Mwamwindi anaheshimika kama shujaa na mtetezi wa makaburi na marehemu wa wahehe" Natanguliza shukrani.

Nadhani
Kama Mkwawa tu anavyoheshimika.ama kwa vile Mkwawa alipingana na mkoloni mweupe? kumbuka kuna wakoloni weusi tena hawa wabaya sana.
 
Kithuku,

Pia nafikiri katika magonjwa ya namna hii kuna kuwa na trigger factor wakati mwingine ambayo haiwezi kuwa controlled na dawa, hii inatokea pale ambapo jambo lisilo la kawaida linapotokea hasa kwa mtu ambaye anatatizo la ugonjwa huu. To some extent nafikiri mental capacity ya Nyerere kwa wakati huu ilikuwa debatable!

Ila back to our main discussion, nafikikiri maelezo mengi yamepatikana hapa kumhusu Dr. Kleruu, ila kitu kimoja ni dhahiri kuwa huyu Dr. kleruu na Nyerere katika uongozi wao na maamuzi yao kama walikuwa wamekusudia kufanya kitu fulani inaonekana hakuna ambacho kingeweza kuwabadilisha mawazo yao ndicho kitu ninachokipata katika post zote hapa and they could have gone to the bitter end to have it done. Kuna watu kama Oscar Kambona ambao walitofautiana mtizamo na mawazo na Nyerere na aliweza kwenda to the great length (Nyerere) kuhakikisha kuwa hawakai zizi moja!
 
Nadhani
Kama Mkwawa tu anavyoheshimika.ama kwa vile Mkwawa alipingana na mkoloni mweupe? kumbuka kuna wakoloni weusi tena hawa wabaya sana.

Utekelezaji wa siasa za ujamaa enzi hizo ulikuwa na mapungufu yake... japo wananchi hawakudiriki kupinga waziwazi.Ilihitaji mtu mmoja " kichaa" kama Mwamwindi kuwaonyesha kuwa imetosha.Naamini baada ya hapo huenda ilibidi wawe makini zaidi.
 
Huyu jamaa hakua kichaa ,huyu alikua mzima kabisa na binadamu mwenye akili timamu ndivyo anavyopaswa kubehave.

Vichaa ni kizazi hiki chetu maana MAFISADI tunayasema hapa sana kwenye screen lakini ukikutana naye live TUNACHEKA kicheko kwa kuonyesha meno yote hahahahahahahahaha Mheshimiwa .
 
Netanyahu,

Shukrani kwa maelezo yako!

Je waweza fafanua kidogo unamaana gani unaposema "Mwamwindi anaheshimika kama shujaa na mtetezi wa makaburi na marehemu wa wahehe" Natanguliza shukrani.

Ni kuwa wahehe huheshimu marehemu wazazi sana ni kama miungu kwao na makaburi yao ni SACRED PLACES za muhimu mno kwa kutambikia.Makaburi ya wazazi wa wahehe hujengwa vizuri na hutunzwa mno na kuthaminiwa.

Kitendo cha Mwamwindi kumtandika risasi mtu aliyemtukana marehemu mama yake na kulipiga mateke kaburi la mama yake kwa wahehe wapenda marehemu wazazi na makaburi yao kilimweka Mwamwindi kwenye kundi la mashujaa wakubwa wa kuheshimiwa kama watetea hadhi za marehemu wazazi na makaburi yao.

Laweza jambo hili lisiwe na maana kwa wakomunisti,wakristo,waislamu n.k lakini kwa wahehe wapenda makaburi na wafu kwao ni shujaa yeye,na ukoo wake ni watu wa kuheshimiwa kwa hilo na hata wakigombea uchaguzi kupitia chama chochote kwa wahehe wawajuao ni rahisi kuwapa kura kwani huwaona kama mashujaa wa kuigwa na wahehe wapenda marehemu wazazi na makaburi yao ambao Iringa ni wengi mno.
 
Huyu jamaa hakua kichaa ,huyu alikua mzima kabisa na binadamu mwenye akili timamu ndivyo anavyopaswa kubehave.

Vichaa ni kizazi hiki chetu maana MAFISADI tunayasema hapa sana kwenye screen lakini ukikutana naye live TUNACHEKA kicheko kwa kuonyesha meno yote hahahahahahahahaha Mheshimiwa .

Mkamap,

Kwa kizazi hiki cha leo nafikiri tuna unafiki wa hali ya juu na mafisadi, na tunaangalia nchi yetu inamalizwa na mafisadi tena afadhali wakati huo wa Dr. Kleruu na Mwamwindi haikuwa ishu ya ufisadi nafikiri ni different perspective and personal grudges. Ina maanisha kuwa Mwamwindi believed in what he believed and Dr. Kleruu believed too in what he believed in!
 
@Netenyahu,

Nimekupata na nashukuru, nafikiri sio wahehe tu makabila mengi yana miiko kwa watu waliokufa na hata matusi kwa wazazi. Mie nakumbuka siku moja miaka kama kumi na tano iliyopita nilikuwa nimepanda pick up naenda kijijini nikiwa na mama mzazi, basi kuna jamaa mmoja akawa anatukana ovyo nafikiri alikuwa amekunywa kidogo, ila matusi aliyokuwa anaporomosha ilikuwa aibu kidogo mie na mama kuendelea kuwa pale na usafiri wa kwenda kijijini ndio ulikuwa huo. Nilimkanya na kumuonya repeatedly ikawa ndio kafungulia bomba la matusi, nilikuwa nashindwa hata kumtizama mama yangu usoni, onyo langu la mwisho kwa jamaa ilikuwa ni kuwa one more thing from his mouth and he will regret ever travelling with me. haikunichukua mda nikajikuta namshushie mvua ya ngumi hadi alipotulia.
 
Kithuku,

Kwenye hili, conflict of interest was greater than anything else. Loyalty kutoka kwa Jaji , Mwendesha Mashtaka hata Nyerere viliegemea upande mmoja na si kuwa na fairness!

Ndio ilikuwa ni mauaji ya kusikitisha hata kwa mtazamo wa wengine ya kikatili (cold blooded) lakini je ilimpasa Jaji kutoa hukumu ya Kifo? Je ilimpasa Nyerere kutia shahada kuruhusu huyu bwana anyongwe?

Je kama Nyerere ange-ji-recluse kutoka kwenye Shauri zima, waliochini yake wangetoa uamuzi wa namna gani?

Tukirudi kwa Dr. Kleruu, je Ubabe wake aliofanya wa kumtukana na hata kumzaba makofi Mwamwindi, chimbuko lake ni nini? je ni makovu ya ukoloni ya kuwa aliye na madaraka ana kauliya nguvu na ana nguvu?

Maana kuna mengi yaliyofanywa na viongozi wa Tanzania kwa mgongo huu wa kuwa "mimi ni kiongozi" hivyo kauli na matendo yake ni ruksa(I will blame Nyerere on this despite his fight of Wazungu Weusi)!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kithuku,

Could it be bipolar disoder or posibly a blend of Bipolar and schizophrenia? YNIM anaweza kutupa maelezo mazuri!
 
Kithuku,

Kwenye hili, conflict of interest was greater than anything else. Loyalty kutoka kwa Jaji , Mwendesha Mashtaka hata Nyerere viliegemea upande mmoja na si kuwa na fairness!

Ndio ilikuwa ni mauaji ya kusikitisha hata kwa mtazamo wa wengine ya kikatili (cold blooded) lakini je ilimpasa Jaji kutoa hukumu ya Kifo? Je ilimpasa Nyerere kutia shahada kuruhusu huyu bwana anyongwe?

Je kama Nyerere ange-ji-recluse kutoka kwenye Shauri zima, waliochini yake wangetoa uamuzi wa namna gani?

Tukirudi kwa Dr. Kleruu, je Ubabe wake aliofanya wa kumtukana na hata kumzaba makofi Mwamwindi, chimbuko lake ni nini? je ni makovu ya ukoloni ya kuwa aliye na madaraka ana kauliya nguvu na ana nguvu?

Maana kuna mengi yaliyofanywa na viongozi wa Tanzania kwa mgongo huu wa kuwa "mimi ni kiongozi" hivyo kauli na matendo yake ni ruksa(I will blame Nyerere on this despite his fight of Wazungu Weusi)!

Rev. Kishoka,

Hii tabia ya viogozi kujichukulia madaraka nafikiri haijaisha Tanzania, similar situation kama ya Dr. Kleruu na Mwamwindi hii hapa, tofauti ni kuwa hapa hapakuwa na ligobore!!

Chaos as DC slaps farmers' chairman

2006-10-13 09:01:47
By Festo Sikagonamo PST, Mbarali

Small-holder farmers in Kapunga village in Mbarali District, Mbeya Region blocked the Parliamentary Committee on Agriculture and Land from visiting the area, resulting in a serious verbal exchange between the villagers and the Mbarali District Commissioner, Hawa Ngulume.

During the squabble, which lasted for about 10 minutes, the District Commissioner lost her temper and slapped the farmers' chairman, Alfred Mkemwa in the face and shoved aside the demonstrators who had blocked the road demanding an audience with the committee.
The villagers wanted the committee to respond to alleged harassment by the investor, who owns Export Trading Ltd. They accused the investor of forcibly evicting them from their homes.

The investor, the villagers protested, had acquired the parcel of land under suspicious circumstances.

They also alleged the investor had denied them access to the water canals they were using for domestic needs and irrigation.

They complained that the government had promised to look into the problem, but so far nothing tangible had been done.

They also accused the investor of evicting Kapunga Primary School teachers from their houses on the farm.

Efforts by Deputy Minister for Agriculture, Food security and Co-operatives, Christopher Chiza, to calm down the angry villagers failed as they protested the DC's conduct, which they termed as unethical and unbecoming.

The DC told the committee later that the farmers' allegations had no basis and that the villagers had been misled by a few farmers who were opposed to the privatisation of the farm.

The DC said some of the farmers had even travelled to Dodoma during the last parliamentary session to complain about the privatisation of the parcel of land.

The DC told the committee further that the investor had merely asked the teachers to find alternative accommodation while the school was being rehabilitated including the teachers' houses.

Members of the committee appealed for calm between the investor and the people living around the farm.

The investor told the committee that he was rehabilitating the infrastructure of the farm and was planning to put 1,000 ha of the 7,000 ha farm under food crops cultivation.

SOURCE: Guardian
 
Rev. Kishoka,

Hii tabia ya viogozi kujichukulia madaraka nafikiri haijaisha Tanzania, similar situation kama ya Dr. Kleruu na Mwamwindi hii hapa, tofauti ni kuwa hapa hapakuwa na ligobore!!

Siku Tanzania kutakuwa na sheria dhidi ya kupiga mtu (assault) au kunyanyasa mtu kw akutumia madaraka, mambo yatabadilika!
 
GM
Jamaa kukuzaba kibao mbele ya watoto wako na mke ni dharau kubwa mno.Usipotetea haki yako wakati huo basi wewe hata ukiishi miaka elfu hapa duniani huna faida yoyote.

Kuna mambo mengine hayakubaliki kabisa.
 
Mbali na tendo hasa la kumzaba mtu kibao mbele ya familia, kuna vitu ambavyo vinazalilisha ambavyo vyaweza kuwa zaidi hata ya hili kama ubabu na ubabe wa CCM na polisi Tarime kwa sasa, unaweza usishangae kama mtu anaweza kupatwa na hasira hadi kufanya yasiyosadikika kabisa.
 
Kwa kiasi fulani siasa za ujamaa ambazo Nyerere alikuwa amezianzisha na kuwa zinatekelezwa nchi nzima ikiwa ni pamoja na Dr. Kleruu kuwa mstari wa mbele huko kweny emkoa wake zimekuwa na madhara mengi kwa kipindi kile na hata sasa.

Watu walihamishwa kutoka kwenye nyumba zao bora, za matofali na mabati wakaenda kukaa porini wakisubiri kujenga vibanda vya udongo na nyasi...

Wengine walihamishiwa karibu na barabara... kama maeneo ya Bagamoyo..huku wakiacha mashamba yao mbali..walikohamia hawakuwa na haki ya mazao kama minazi au maembe ambayo tayari yalikuwa mali ya wenyewe..matokeo yake watu wakakosa ule moyo wa kufanya kazi kwa bidiii na hadi leo wanaonekana wavivu.

Kuna wale waliohamishiwa katika maeneo ya watu kama mimi katika ukoo wetu pamoja na eneo kubwa tulilokuwa nalo watu wengi walihamishiwa na kugawiwa maeneo ya kuishi hapo. Sasa baada ya miaka mingi na ujamaa kuanguka wengi wameweza kurudi katika mashamba yao huku wakiendelea kushikilia na maeneo ambayo walihamishiwa hapo kwetu, tatizo ni kuwa kama sisi familia yetu haina pa kuhamia, hatukutoka popote tulikuwa hapa hapa. Hatuwezi kuhamia maeneo hayo kwa sababu baadhi ya hawa jamaa wamerudi maeneo yao ya zamani na wamechukua mashamba yao na vile vile wamegoma kutoka katima maeneo yetu ambayo kwa haki walipewa na serikali. Kwa kiasi fulani kuna uhasama na uchungu na majirani zetu ambao tunaona kama wanakuwa so unfair kukataa kuhama wakati tayari wameishajichukulia maeneo yao ya zamani, sisi hatuna eneo la zamani la kuchukua. Hali kama hii nafikiri inaweza kuwa ipo sehemu nyingi na wakati mwingine ukifiriria hizi hostilities unaanza kuona kuwa huko mbele watu wanaweza kupigana au kuuwana bure!
 
Kithuku said:
Hii ya ugonjwa wa psychosis kwenye familia ya Nyerere ni kweli nimeisikia muda mrefu sana kuwa hata mwalimu mwenyewe alikuwa na daktari wake aliyekuwa anamtibia hayo mambo, huyo daktari alikuwa anajitahidi sana mzee asije akalipuka uchizi waziwazi, na kweli alimdhibiti vizuri hali hii haikutokea. Watoto wake pia wana matatizo hayo kwa viwango mbalimbali, lakini kuna mmoja wa kiume ambaye ni tatizo kabisa (si adabu kusema "kichaa" maana huo ni unyanyapaa, lakini ama matatizo makubwa kwa kweli, hajaweza kabisa kujimudu). Lakini magonjwa ya akili n magonjwa kama mengine, yakidhibitiwa bado mtu anaweza ku-function vizuri sana katika jamii.

Kithuku,

..habari za ndugu wa Mwalimu, haswa Kiboko Nyerere[r.i.p], kufanya vurugu, na kuharibu mali, nilifikiri zilitokana na ubabe na umwamba wa Kikurya tu.

..siku zote nilikuwa nikipuuza hii minong'ono kwamba walikuwa na matatizo fulani.
 
JokaKuu,

Nafikiri akina Nyerere ni wazanaki wa Butiama na sio wakurya, but I stand corrected!
 
Mke wa huyu marehemu Dr Kleruu alikua anafanya kazi katika hospitali ya KCMC, Moshi, kama Human resource officer/ assistant director personnel & admin baada ya kustaafu serikalini, na sasa yupo HQ Tumaini Univ sijui ktk capacity gani.
Kuna mtu kasema binti yao alifariki ktk moto wa shule ya Shauritanga? Sidhani? Kwa sababu yule mzee alifariki 1971, hivyo hana mtoto aliezaliwa baada ya hapo (at least baada ya '72) so aliefariki labda mjukuu.
 
INJINIA,hukunielewa,mtoto wa kleruu,mimi jina lake simjui,lakini kwa sababu alikuwa na mtoto wa kike anaitwa twambi,sisi tukawa tunamwita mama twambi.huyu twambi kwenye kilio chake ndio tukajua kuwa ni mjukuu wa kleruu.
 
Back
Top Bottom