Pia kuna issue ya kuwa Nyerere wakati mwingine alikuwa anatibiwa mambo ya akili, je inawezekana alikuwa "incapacitated" wakati wa kuweka saini hapa? inawezekana personal loss za huyo Dr. Kleruu iliweza kumfanya mzee wa watu akawa katika hali ya kutoweza kutoa maaamuzi akiwa timamu. Naweza nisi-substantiate hizi habari za Nyerere kutibiwa mambo ya akili ila kuna daktari mmoja wa muhimbili kipindi cha nyuma aliwahi kunigusia kuwa alikuwa na tatizo hili na familia yake wana tatizo la akili vile vile.
Netanyahu,
Shukrani kwa maelezo yako!
Je waweza fafanua kidogo unamaana gani unaposema "Mwamwindi anaheshimika kama shujaa na mtetezi wa makaburi na marehemu wa wahehe" Natanguliza shukrani.
Nadhani
Kama Mkwawa tu anavyoheshimika.ama kwa vile Mkwawa alipingana na mkoloni mweupe? kumbuka kuna wakoloni weusi tena hawa wabaya sana.
Utekelezaji wa siasa za ujamaa enzi hizo ulikuwa na mapungufu yake... japo wananchi hawakudiriki kupinga waziwazi.Ilihitaji mtu mmoja " kichaa" kama Mwamwindi kuwaonyesha kuwa imetosha.Naamini baada ya hapo huenda ilibidi wawe makini zaidi.
Netanyahu,
Shukrani kwa maelezo yako!
Je waweza fafanua kidogo unamaana gani unaposema "Mwamwindi anaheshimika kama shujaa na mtetezi wa makaburi na marehemu wa wahehe" Natanguliza shukrani.
Huyu jamaa hakua kichaa ,huyu alikua mzima kabisa na binadamu mwenye akili timamu ndivyo anavyopaswa kubehave.
Vichaa ni kizazi hiki chetu maana MAFISADI tunayasema hapa sana kwenye screen lakini ukikutana naye live TUNACHEKA kicheko kwa kuonyesha meno yote hahahahahahahahaha Mheshimiwa .
Kithuku,
Kwenye hili, conflict of interest was greater than anything else. Loyalty kutoka kwa Jaji , Mwendesha Mashtaka hata Nyerere viliegemea upande mmoja na si kuwa na fairness!
Ndio ilikuwa ni mauaji ya kusikitisha hata kwa mtazamo wa wengine ya kikatili (cold blooded) lakini je ilimpasa Jaji kutoa hukumu ya Kifo? Je ilimpasa Nyerere kutia shahada kuruhusu huyu bwana anyongwe?
Je kama Nyerere ange-ji-recluse kutoka kwenye Shauri zima, waliochini yake wangetoa uamuzi wa namna gani?
Tukirudi kwa Dr. Kleruu, je Ubabe wake aliofanya wa kumtukana na hata kumzaba makofi Mwamwindi, chimbuko lake ni nini? je ni makovu ya ukoloni ya kuwa aliye na madaraka ana kauliya nguvu na ana nguvu?
Maana kuna mengi yaliyofanywa na viongozi wa Tanzania kwa mgongo huu wa kuwa "mimi ni kiongozi" hivyo kauli na matendo yake ni ruksa(I will blame Nyerere on this despite his fight of Wazungu Weusi)!
Chaos as DC slaps farmers' chairman
2006-10-13 09:01:47
By Festo Sikagonamo PST, Mbarali
Small-holder farmers in Kapunga village in Mbarali District, Mbeya Region blocked the Parliamentary Committee on Agriculture and Land from visiting the area, resulting in a serious verbal exchange between the villagers and the Mbarali District Commissioner, Hawa Ngulume.
During the squabble, which lasted for about 10 minutes, the District Commissioner lost her temper and slapped the farmers' chairman, Alfred Mkemwa in the face and shoved aside the demonstrators who had blocked the road demanding an audience with the committee.
The villagers wanted the committee to respond to alleged harassment by the investor, who owns Export Trading Ltd. They accused the investor of forcibly evicting them from their homes.
The investor, the villagers protested, had acquired the parcel of land under suspicious circumstances.
They also alleged the investor had denied them access to the water canals they were using for domestic needs and irrigation.
They complained that the government had promised to look into the problem, but so far nothing tangible had been done.
They also accused the investor of evicting Kapunga Primary School teachers from their houses on the farm.
Efforts by Deputy Minister for Agriculture, Food security and Co-operatives, Christopher Chiza, to calm down the angry villagers failed as they protested the DC's conduct, which they termed as unethical and unbecoming.
The DC told the committee later that the farmers' allegations had no basis and that the villagers had been misled by a few farmers who were opposed to the privatisation of the farm.
The DC said some of the farmers had even travelled to Dodoma during the last parliamentary session to complain about the privatisation of the parcel of land.
The DC told the committee further that the investor had merely asked the teachers to find alternative accommodation while the school was being rehabilitated including the teachers' houses.
Members of the committee appealed for calm between the investor and the people living around the farm.
The investor told the committee that he was rehabilitating the infrastructure of the farm and was planning to put 1,000 ha of the 7,000 ha farm under food crops cultivation.
SOURCE: Guardian
Rev. Kishoka,
Hii tabia ya viogozi kujichukulia madaraka nafikiri haijaisha Tanzania, similar situation kama ya Dr. Kleruu na Mwamwindi hii hapa, tofauti ni kuwa hapa hapakuwa na ligobore!!
GM
Jamaa kukuzaba kibao mbele ya watoto wako na mke ni dharau kubwa mno.Usipotetea haki yako wakati huo basi wewe hata ukiishi miaka elfu hapa duniani huna faida yoyote.
Kuna mambo mengine hayakubaliki kabisa.
Kithuku said:Hii ya ugonjwa wa psychosis kwenye familia ya Nyerere ni kweli nimeisikia muda mrefu sana kuwa hata mwalimu mwenyewe alikuwa na daktari wake aliyekuwa anamtibia hayo mambo, huyo daktari alikuwa anajitahidi sana mzee asije akalipuka uchizi waziwazi, na kweli alimdhibiti vizuri hali hii haikutokea. Watoto wake pia wana matatizo hayo kwa viwango mbalimbali, lakini kuna mmoja wa kiume ambaye ni tatizo kabisa (si adabu kusema "kichaa" maana huo ni unyanyapaa, lakini ama matatizo makubwa kwa kweli, hajaweza kabisa kujimudu). Lakini magonjwa ya akili n magonjwa kama mengine, yakidhibitiwa bado mtu anaweza ku-function vizuri sana katika jamii.
Kithuku,
..habari za ndugu wa Mwalimu, haswa Kiboko Nyerere[r.i.p], kufanya vurugu, na kuharibu mali, nilifikiri zilitokana na ubabe na umwamba wa Kikurya tu.
..siku zote nilikuwa nikipuuza hii minong'ono kwamba walikuwa na matatizo fulani.