Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ndio imetoka hiyo kaka. Sisi tunataka kazi na Samia aliahidi kutoa ajira, hatukukubaliana atazitafuta vipi. Ila kwa mtazamo wangu, yeye apige, galagaza lakini sisi tunachoangalia ni ajira. Mtaani kunachosha.Naamini kabisa, licha ya Samia kutoa majibu ya sharau kwa watanganyika kuhusu ule mkataba kwamba ameziba masikio, lakini ndani ya nafsi yake, atakuwa anatetemeka sana, hana amani.
Lile jibu lake kwetu lilikuwa kama mbinu ya self defence kisaikolojia, lakini anajua fika, amezungukwa na wasiomuamini wala kumuunga mkono naye anajua hilo.
Ametusaliti watanganyika.
Dr Slaa ni mnafiki, sikumuona kulalamikia mkataba wa Nyerere na waingereza kuhusu uuzwaji wa Almasi. Hivi amewahi kuuona mkataba huo, au ni kwa sababu saint mwenzake? Au huu ndio mkataba wa kwanza.