Alie allow haya mnamfaham na alikuwa ana nia njema but hakufikiria mbali madhara yakeAnaandika: Dr. Wilbrod Slaa
Msingi wa vitendo vyote vya utekaji unaoendelea nchini ni Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) ya mwaka 2024. Bila kurekebisha sheria hii, Watanzania wataendelea kutekwa, kupotezwa na kudhulumiwa hadi tutoweke kabisa kama taifa huru.
Sheria hiyo imeipa TIS mamlaka makubwa ya kukamata watu, lakini bila kuweka utaratibu bayana wa:
(a) Wanapomkamata mtu, wampeleke wapi? Tofauti na Jeshi la Polisi lenye vituo maalumu vya kushikilia watuhumiwa, TIS haina vituo vinavyotambuliwa kisheria vya kuwapokea waliokamatwa.
(b) Hakuna mwongozo wa kisheria unaoeleza nini kifanyike baada ya mtu kukamatwa na TIS. Kwa mfano, Polisi wanapaswa kuhakikisha kuwa ndani ya saa 4 baada ya kumkamata mtu, maelezo (statement) ya mtuhumiwa yanakuwa yamechukuliwa, huku haki za mtuhumiwa zikiwa zimeainishwa wazi katika Sheria na katika taratibu za Police General Orders (PGO). Kwa upande wa TIS, sheria yao haina mwongozo wowote kuhusu haki za waliokamatwa wala hatua zinazofuata baada ya kukamatwa.
(c) Sheria ya TIS imeiruhusu Idara kutumia silaha nzito, pingu na vifaa vingine vya kiusalama, lakini tofauti na Polisi, hakuna mahali sheria inapotamka wazi kuhusu vifaa hivyo vinahifadhiwa wapi, vinatumiwa kwa utaratibu gani, na ni nani anawajibika kuvihifadhi.
Hayo ni baadhi tu ya mapungufu makubwa ya sheria hiyo. Kwa ujumla, sheria hii imeifanya TIS kuwa taasisi isiyoguswa, isiyodhibitiwa na isiyoajibika kwa namna yoyote kwa umma au kwa vyombo vingine vya dola.
Kwa hiyo, kama raia — hususan wasomi — tumeshiriki kimya kimya kuzalisha mazingira haya ya kinyume na utawala wa sheria kwa kukubali kupitishwa kwa sheria hii mbovu bila kupiga kelele. Sasa tunavuna tulichopanda.
I guess was magufuli, nia njema ipi? fafanuania njema
He wants flexibility kudeal na watu wanaoitafuna system, kwenye macho yake idara ilikuwa imefungwa mikono, incapable of doing anything, so hiyo sheria ilitungww to free them ili aweze kuwatumia for whatever reasonI guess was magufuli, nia njema ipi? fafanua
Hii Sheria Ilipokuwa inapitishwa watu walikuwa Busy na Mambo Mengine.TISS sasa hivi wanaweza kufanya Chochote,Popote na hakuna Yeyote anayeweza kuwafanya Lolote.Hata Rais Samia haweza kuwafanya Lolote.Kiufupi TISS ni kundi la Kigaidi dhidi ya WatanzaniaAnaandika: Dr. Wilbrod Slaa
Msingi wa vitendo vyote vya utekaji unaoendelea nchini ni Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) ya mwaka 2024. Bila kurekebisha sheria hii, Watanzania wataendelea kutekwa, kupotezwa na kudhulumiwa hadi tutoweke kabisa kama taifa huru.
Sheria hiyo imeipa TIS mamlaka makubwa ya kukamata watu, lakini bila kuweka utaratibu bayana wa:
(a) Wanapomkamata mtu, wampeleke wapi? Tofauti na Jeshi la Polisi lenye vituo maalumu vya kushikilia watuhumiwa, TIS haina vituo vinavyotambuliwa kisheria vya kuwapokea waliokamatwa.
(b) Hakuna mwongozo wa kisheria unaoeleza nini kifanyike baada ya mtu kukamatwa na TIS. Kwa mfano, Polisi wanapaswa kuhakikisha kuwa ndani ya saa 4 baada ya kumkamata mtu, maelezo (statement) ya mtuhumiwa yanakuwa yamechukuliwa, huku haki za mtuhumiwa zikiwa zimeainishwa wazi katika Sheria na katika taratibu za Police General Orders (PGO). Kwa upande wa TIS, sheria yao haina mwongozo wowote kuhusu haki za waliokamatwa wala hatua zinazofuata baada ya kukamatwa.
(c) Sheria ya TIS imeiruhusu Idara kutumia silaha nzito, pingu na vifaa vingine vya kiusalama, lakini tofauti na Polisi, hakuna mahali sheria inapotamka wazi kuhusu vifaa hivyo vinahifadhiwa wapi, vinatumiwa kwa utaratibu gani, na ni nani anawajibika kuvihifadhi.
Hayo ni baadhi tu ya mapungufu makubwa ya sheria hiyo. Kwa ujumla, sheria hii imeifanya TIS kuwa taasisi isiyoguswa, isiyodhibitiwa na isiyoajibika kwa namna yoyote kwa umma au kwa vyombo vingine vya dola.
Kwa hiyo, kama raia — hususan wasomi — tumeshiriki kimya kimya kuzalisha mazingira haya ya kinyume na utawala wa sheria kwa kukubali kupitishwa kwa sheria hii mbovu bila kupiga kelele. Sasa tunavuna tulichopanda.
My take: TLS Mwabukusi hamuwezi kuipinga hii sheria mahakamani kama Olengurumwa alivyopinga sheria ya kutoshitaki akina Rais na wenzake?
Sheria si ni ya 2024?Alie allow haya mnamfaham na alikuwa ana nia njema but hakufikiria mbali madhara yake
Kaondoka kaacha balaa
Wa 2024 tayari ameondoka??Alie allow haya mnamfaham na alikuwa ana nia njema but hakufikiria mbali madhara yake
Kaondoka kaacha balaa
Duh! Magufuli sijui aliwafanya nini baadhi ya watanzania.He wants flexibility kudeal na watu wanaoitafuna system, kwenye macho yake idara ilikuwa imefungwa mikono, incapable of doing anything, so hiyo sheria ilitungww to free them ili aweze kuwatumia for whatever reason
Some of seniour ccm member didnt like this, maana after this sheria mambo yao yakawa yanavujishwa kwa mkuu.
Too bad hakujua watu anao waachia watafanya kazi gani na hii sheria
Sheria ya 2024, kaondoka kwenda wapi?Alie allow haya mnamfaham na alikuwa ana nia njema but hakufikiria mbali madhara yake
Kaondoka kaacha balaa
Inazingumzia naibu wa afya?Kama mke wa Molel alifikiwa,
Naye ataguswa tu.
Hapana SI huyo.Inazingumzia naibu wa afya?
Alijibu kuwa HAKUBALIANI na matendo OVU ya utekaji.Huyu mzee ni mzalendo sana na Huwa hapepesi macho kwenye mambo ya kihuni kama yale yanayopingwa na hamphrey polepoleKipindi cha shujaa Mzee alikuwa balozi na alipoulizwa suala la utekaji sijui alijibuje vile nimesahau.
Hata alipoulizwa kutoa comment kwenye kesi ya ugaidi ya Mbowe sijui alijibuje vile.
Safarini Khartoum Sudani.