Watu gani wanaomkubali Ruto?Tutakuwa humu humu baada ya uchaguzi,Ruto ndiye atayekuwa kwenye Kiti, watu wamemkubali dynasties ndio hawamtaki kama vile hawakumtaka Kibaki!kwasababu atatajirisha maskini!
Huslers tuko kotekote
Ruto ndiye rais
Ata wakubwa walafi waungane aje kumvamia anameza wote!
Amebarikiwa!
Anatapatapa tuu kwa kutumia kila aina ya uongo..Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10.
Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri.
"Sina haja na miaka 10 ya urais mimi. Nataka miaka 5 tu. Kazi yangu ikiwafurahisha basi mnaweza kunipa nyongeza ya miaka 5. Lakini nikifeli basi mpo huru kumchagua Rais mwingine."
Ikumbukwe Rais Uhuru Kenyatta amashatangaza hadharani kuwa atamuunga Raila Odinga kurithi kiti chake cha urais itakapofika Uchaguzi mkuu Agosti 9 mwaka huu 2022.
Uswahiba wa Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto ulichukua mwelekeo mpya wa uhasama kutokana na wamuzi wa Rais Kenyatta kujenga urafiki na mshindani wake Raila Odinga.
Uliona mbali,Baba anakimbizaHawezi kushinda,,,, ! Mr Odinga R ndo raisi ajaye wa Kenya!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
My friend iam a Kenyan too Lakini watu kama.nyie mmelishwa upupu wa huyo muongo nambari moja Ruto.nenda kwa list ya matajiri wa Kenya ndio utajua nani ndio mwizi!!
Ruto is even a Saint!
Nenda ukafanye research Railas Wealth![emoji33]Utastuka!
Deepstate,Dinasty!wote out[emoji51]
Ruto Tosha[emoji108][emoji91][emoji91]
Hustler huyo kachukua nchi leta manenoTuonane baada ya uchaguzi broo , ila nikuakikishie tu
Ruto hapati kitu
Haya sasaHawezi kushinda,,,, ! Mr Odinga R ndo raisi ajaye wa Kenya!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hapo vipiHawezi kushinda,,,, ! Mr Odinga R ndo raisi ajaye wa Kenya!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app