Kenya 2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

Kenya 2022 Dkt. William Ruto: Sitaki miaka 10 ya Urais, nipeni mitano. Kazi yangu ikiwavutia niongezeni mitano tena

Kenya 2022 General Election
Jamaa muongo. Akishashinda tu lazima term ya pili ashinde tena kwa kuiba kura.Kwani Mwai Kibaki ilikuwaje ?Ananikumbusha Magufuli kutwa kulalamika uraisi mgumu na aombewe. Cha kushangaza 2020 akagombea tena. Ni vilaza tu ndo watamwamini Ruto kwa ayasemayo.
 
Na akimaliza muda wake asizidishe hata dakika kukaa ikulu
 
Tutakuwa humu humu baada ya uchaguzi,Ruto ndiye atayekuwa kwenye Kiti, watu wamemkubali dynasties ndio hawamtaki kama vile hawakumtaka Kibaki!kwasababu atatajirisha maskini!
Huslers tuko kotekote
Ruto ndiye rais
Ata wakubwa walafi waungane aje kumvamia anameza wote!
Amebarikiwa!
Watu gani wanaomkubali Ruto?
 
Naibu wa Rais #Kenya Dr. William Ruto amezua hisia mseto miongoni mwa wananchi baada ya kusema hatamani kudumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka 10.

Hayo aliyasema wakati akinadi sera zake za 'Hustler Nation' yaani taifa la wapambanaji katika kaunti ya Nyeri.

"Sina haja na miaka 10 ya urais mimi. Nataka miaka 5 tu. Kazi yangu ikiwafurahisha basi mnaweza kunipa nyongeza ya miaka 5. Lakini nikifeli basi mpo huru kumchagua Rais mwingine."

Ikumbukwe Rais Uhuru Kenyatta amashatangaza hadharani kuwa atamuunga Raila Odinga kurithi kiti chake cha urais itakapofika Uchaguzi mkuu Agosti 9 mwaka huu 2022.

Uswahiba wa Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto ulichukua mwelekeo mpya wa uhasama kutokana na wamuzi wa Rais Kenyatta kujenga urafiki na mshindani wake Raila Odinga.

Anatapatapa tuu kwa kutumia kila aina ya uongo..

Wakenya sio specimen wa kufanyia majaribio ya Urais.
 
nenda kwa list ya matajiri wa Kenya ndio utajua nani ndio mwizi!!
Ruto is even a Saint!
Nenda ukafanye research Railas Wealth![emoji33]Utastuka!
Deepstate,Dinasty!wote out[emoji51]

Ruto Tosha[emoji108][emoji91][emoji91]
My friend iam a Kenyan too Lakini watu kama.nyie mmelishwa upupu wa huyo muongo nambari moja Ruto.
Mpo mpo tu,kichwa chako chepesi mno.
Na hii ndio hulka ya vijana wa Leo walio wengi pamoja na umasikini na wafia dini.
Religion being the opium of the poor masses.
 
Mzee kakaba shingo, so far ngoma bado ni mbichi.
 
Back
Top Bottom