Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
fal
Sio mara ya kwanza kutishiwa kuwa ID zetu ziko uchi, mtu mwenye info hizo ni kutoka jikoni huko JF, sasa kama ni hivyo ni bora kufungua platform nyingine ambayo members watakuwa hawana mashaka.
fala mmoja huyo asikutishe angekuwa na uwezo huo angekufata kimyakimya ni mapimbi tu wa uvccm
 
Huyu mzee tangia lile tukio la 2015 kuhama chama dkk za jion, na ushawishi wote ule sijawah kumuelewa tena ,,,, Badae akalamba ubaloz kwa JPM, badae karudi, mara anachukizwa na wanaosema FAM sio gaidi, then mara tena anaonekana yupo against government, anakamatwa,,, kwa kifupi haeleweki ! Hivi lile lijanamke alilioa uzeeni alienda nalo Canada bado wapo ama ! Tumepitia mengi sana kama nchi
Huyu mtu mzima kumuamini lazima uwe na upungufu wa akili, it's very possible aliwekwa ndani kimkakati ili aaminike kuwa ni mpinza wa dola kiukweli na si pandikizi. Bora hata Lowassa alivyorudi CCM(to save his business empire) hakuwa akiwasagia kunguni CHADEMA lakini huyo Slaa aliichafua mno na kipindi hicho nakumbuka Lissu alidai kuwa mpango wa kumvuta Lowassa CHADEMA Slaa alishiriki kikamilifu ila mambo yalibadilika baada ya Bibi Mushumbusi kubaini kuwa Slaa hatapeperusha bendera kuugombea uraia, bibi ailiuhitaji sana u-first lady japo yeye ni kada wa CCM.
 
Aaah wapi

Kamudomo sasa katakua makini

Uzushi sio mzuri
Ili uitwe u!ushi lazima ujibiwe kwa hoja maridhawa zenye ushahidi toka kwenye upande ulio zushiwa.
Vinginevyo wewe mwenye kuita uzushi bila kuja na FACTS zozote juu ya ulichokiita UZUSHI Ni chawa kama MWIJAKU TU
 
Ili uitwe u!ushi lazima ujibiwe kwa hoja maridhawa zenye ushahidi toka kwenye upande ulio zushiwa.
Vinginevyo wewe mwenye kuita uzushi bila kuja na FACTS zozote juu ya ulichokiita UZUSHI Ni chawa kama MWIJAKU TU
You can say that again

But slaa alizusha bahati mbaya aligusa live wire

Sasa hivi atatulia
 
Yaani acha tu! Wanatumia vyombo vya dola na nguvu za kiutendaji kunyanyasa tu
Kuna kautaratibu kao, kwanza, wanakamata Ijumaa ili mtu alale hadi Jumatatu.
Pili, kama DPP hana nia ya kuendelea na kesi alimkamata kwa kosa gani?

Ndio maana tunasema tukae chini tutengeneze Katiba itakaondoa huu ujinga na upuuzi.
Kwa nchi za wenzetu hapa Dr angefungua kesi ya kunyang'anywa Uhuru wake na angelipwa.

Banana Republic!
Hivi kwani hii katiba ya sasa inaruhusu huu unyanyasaji kweli?

Si kwamba watawala wanakiuka tu taratibu zilizopo kwa makusudi?
 
Back
Top Bottom