Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
fal
Sio mara ya kwanza kutishiwa kuwa ID zetu ziko uchi, mtu mwenye info hizo ni kutoka jikoni huko JF, sasa kama ni hivyo ni bora kufungua platform nyingine ambayo members watakuwa hawana mashaka.
fala mmoja huyo asikutishe angekuwa na uwezo huo angekufata kimyakimya ni mapimbi tu wa uvccm
 
Huyu mtu mzima kumuamini lazima uwe na upungufu wa akili, it's very possible aliwekwa ndani kimkakati ili aaminike kuwa ni mpinza wa dola kiukweli na si pandikizi. Bora hata Lowassa alivyorudi CCM(to save his business empire) hakuwa akiwasagia kunguni CHADEMA lakini huyo Slaa aliichafua mno na kipindi hicho nakumbuka Lissu alidai kuwa mpango wa kumvuta Lowassa CHADEMA Slaa alishiriki kikamilifu ila mambo yalibadilika baada ya Bibi Mushumbusi kubaini kuwa Slaa hatapeperusha bendera kuugombea uraia, bibi ailiuhitaji sana u-first lady japo yeye ni kada wa CCM.
 
Aaah wapi

Kamudomo sasa katakua makini

Uzushi sio mzuri
Ili uitwe u!ushi lazima ujibiwe kwa hoja maridhawa zenye ushahidi toka kwenye upande ulio zushiwa.
Vinginevyo wewe mwenye kuita uzushi bila kuja na FACTS zozote juu ya ulichokiita UZUSHI Ni chawa kama MWIJAKU TU
 
Ili uitwe u!ushi lazima ujibiwe kwa hoja maridhawa zenye ushahidi toka kwenye upande ulio zushiwa.
Vinginevyo wewe mwenye kuita uzushi bila kuja na FACTS zozote juu ya ulichokiita UZUSHI Ni chawa kama MWIJAKU TU
You can say that again

But slaa alizusha bahati mbaya aligusa live wire

Sasa hivi atatulia
 
Hivi kwani hii katiba ya sasa inaruhusu huu unyanyasaji kweli?

Si kwamba watawala wanakiuka tu taratibu zilizopo kwa makusudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…