V Vyamavingi JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 5,818 Reaction score 5,555 Feb 28, 2025 #221 Shotocan said: Ukiambiwa tii sheria bila shuruti mwangalie Slaa Maisha yangu yote toka nimfahamu Slaa sijawahi.muona ana ndevu kama za Osama bin Laden Yaani hapo wanafanana kama mapacha na Osama bin Laden Chezea kuwekwa ndani wewe. Tii sheria bila shurti Click to expand... Hamna cha sheria hapo, ni uonevu na matumizi mabaya ya madaraka. Vv
Shotocan said: Ukiambiwa tii sheria bila shuruti mwangalie Slaa Maisha yangu yote toka nimfahamu Slaa sijawahi.muona ana ndevu kama za Osama bin Laden Yaani hapo wanafanana kama mapacha na Osama bin Laden Chezea kuwekwa ndani wewe. Tii sheria bila shurti Click to expand... Hamna cha sheria hapo, ni uonevu na matumizi mabaya ya madaraka. Vv
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 3,626 Reaction score 3,869 Feb 28, 2025 #222 chiembe said: Tehetehe...... Naona kasahau mkanda wa suruali gerezani, kidevu kimechakaa kama msagishaji wa mashine ya unga Click to expand... Cha ajabu huyo mzee anawazidi pesa na elimu wewe na ukoo wako wote.
chiembe said: Tehetehe...... Naona kasahau mkanda wa suruali gerezani, kidevu kimechakaa kama msagishaji wa mashine ya unga Click to expand... Cha ajabu huyo mzee anawazidi pesa na elimu wewe na ukoo wako wote.