Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Hamna cha sheria hapo, ni uonevu na matumizi mabaya ya madaraka.Ukiambiwa tii sheria bila shuruti mwangalie Slaa
Maisha yangu yote toka nimfahamu Slaa sijawahi.muona ana ndevu kama za Osama bin Laden
Yaani hapo wanafanana kama mapacha na Osama bin Laden
Chezea kuwekwa ndani wewe. Tii sheria bila shurti
Vv