Hapo sasa🤣🤣🤣Dah akitoka hapo adabu unarudi home unaambiwa houseboy alikuwa analala chumbani kwako
Afadhali, ilikuwa haileti picha nzuri.Mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa. Dk Slaa ameachiwa huru kwakuwa jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo amepata dhamana yuko huru.
Hivi Hawa JAMHURI kweli hawalipagi pesa za usumbufu au kifuta jasho.Mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa. Dk Slaa ameachiwa huru kwakuwa jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo amepata dhamana yuko huru.
👍Walidhani kwa kumuweka Dr. Slaa korokoroni wangemsaidia mtu wao ashinde uenyekiti wa Chadema!! Wameambulia patupu😳🤪
Kwa umri wake alisha retire mambo haya muda!Leo mkewe atamkoma usiku yale mambo
Ana usongo nayo hadi basi
👍Hivi Hawa JAMHURI kweli hawalipagi pesa za usumbufu au kifuta jasho.
Haki imeshinda Giza.
Shem on them.
Mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa. Dk Slaa ameachiwa huru kwakuwa jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo amepata dhamana yuko huru.🥺🥺🥺😒😒Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X (zamani Twitter).
Leo February 27,2025, Wakili wa Serikali Mwandamizi Job Mrema amewasilisha nia ya DPP mbele ya Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga .
Wakili Mrema ameieleza Mahakama kuwa DPP ameamua kutoaendelea na shauri hilo kwa mujibu wa kifungu cha 91 (1) cha mwenendo wa makosa ya jinai.
Gereza la wote, nawe jiandae siku yako yaweza kuwa keshoAmeshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
VIVA slaa... Tanganyika wa kweliAmeshika adabu sasa!! Ameionja joto ya jiwe!
Ilisemekana atatoka baada ya uchaguziNia ilikuwa kumtesa tu hakuna kesi hapo, iliwauma kwa vile habari zile zilikuwa za ukweli kabisa.
Chama kipi?Aje atulie, ale pesa zake alizotengeneza aache harakati, awe kiongozi msafi na salama kwa chama chake.
Kama ks retire hayo mambo Mkewe anakula wapi chakula cha usiku wa manane yaani daku mbona bado mdogo? Anafuturu wapi?Kwa umri wake alisha retire mambo haya muda!
Isije ikawa wameshamlambisha sumu ya kuja kummaliza mdogomdogo hawa watu wana ushetani mwingi sana.Ilisemekana atatoka baada ya uchaguzi