kamtetee sasa huko mwenzio ananyea kwenye mtondoooDk. Slaa ndio balozi pekee wa kweli tulie naye, wengine wote ni wanafiki wakubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamtetee sasa huko mwenzio ananyea kwenye mtondoooDk. Slaa ndio balozi pekee wa kweli tulie naye, wengine wote ni wanafiki wakubwa!
Hawezi kwenda zaidi ya kuropoka tu humukamtetee sasa huko mwenzio ananyea kwenye mtondooo
kamtetee sasa huko mwenzio ananyea kwenye mtondooo
Hawezi kwenda zaidi ya kuropoka tu humu
Sipo hapa na siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta uteuzi.mimi napigania Taifa languAkson amekuahidi atakupigania upate udas? 😁😁😁 sio kwa kujikunja huko mwashambwa
alishasema chukueni ubalozi wenu kama ni kwa ajili ya kumfanya kuwa chawa,Ndugu zangu watanzania,
Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi,hastahili kuendelea kupewa heshima hiyo,hastahili kuendelea kutambulikana kwa jina hilo,hastahili kuendelea kushikilia na kuitwa kwa jina hilo.amepoteza sifa kwa kuwa kwa sasa amekuwa Balozi wa machafuko,vurugu ,ubaguzi na mapinduzi haramu.
Sasa yupo mstari wa mbele kutaka kuipindua serikali yetu iliyopo kihalali madarakani,yupo kazini na kibaruani kuchochea na wakati wote amekuwa akichochea,kuhamasisha , kushawishi na kupandikiza mbegu ya chuki kwa watanzania ili waichukie serikali yao na waipindue na kuiondosha madarakani.
Tangia Dr Slaa Asitaafishwe ubalozi amekuwa na chuki kubwa sana kwa mh Rais wetu mama samia,ameonyesha waziwazi namna alivyo na chuki, hasira na kumchukia sana Rais samia,Amekuwa ni mtu ambaye moyo wake unatamani angekuwa na uwezo au nafasi basi angeweza kumuondoa madarakani hata leo hii kwa njia ya mapinduzi. Kibaya zaidi ni kuwa chuki zake zimekuwa hazina msingi wala mashiko zaidi tu ya kuwa na fikira za kibaguzi na chuki binafsi.
Kutokana na chuki hiyo binafsi iliyojaa katika kifua chake dhidi ya Rais wetu imepelekea muda wote kuwa mwenye maneno ya uchochezi ,chuki na hatarishi kwa usalama wa Taifa letu. Ni kwa mantiki hiyo sioni sababu ya kuendelea kutambulikana na kupewa heshima ya ubalozi,ni kwa maana hiyo Dr Slaa hatakiwi kuwa katika orodha ya mabalozi wastaafu na kupewa heshima ya kibalozi.Hastahili kwa sababu yupo katika vita ya kulipasua Taifa letu,vita ya kutaka kuipindua serikali yetu,vita ya kutaka kuleta machafuko nchini,vita ya kutaka serikali yetu iondolewe madarakani kwa njia haramu.
Kwa sasa ni Adui wa usalama wetu wa Taifa,ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa,Ni kirusi kwa umoja wa kitaifa ,Ni sumu kwa ustawi wa Taifa letu. Anataka kuliangamiza Taifa letu,Anataka kuwasha moto nchini,anataka kuliteketeza Taifa letu.Najiuliza kwanini Dr Slaa Tangia awali alionyesha kuwa na chuki na mh Rais? Nini Tatizo? Nani yupo nyuma yake? Anatumiwa na akina nani? Nani wafadhili wake? Nani wanampa nguvu? Kwanini iwe sasa? Kwanini amfanyie haya Rais samia? Kwanini awaze hata kuipindua serikali? Kwanini kwanini kwanini sasa? Nini shida ambayo sisi mamilioni ya watanzania hatuioni isipokuwa yeye tu Dr Slaa.?
Hatupo tayari na kamwe na katu hatutamuunga mkono Dr Slaa,tunamfahamu sana Dr Slaa,huwa ni mtu mwenye chuki sana unapokuwa utawala unaongozwa na watu fulani,ni mbaguzi sana Dkt Slaa na mtu mwenye chuki kubwa sana.Ndio maana watanzania baada ya kurejea historia yake wameamua kumpuuza na kutomuunga mkono na kumuacha aendelee kutapatapa.Ni aibu kwa mtu wa umri wake kushindwa kutumia busara ,hekima na ustaarabu katika kauli ,matendo na matamko yake mbele ya camera au jamii au majukwaani. Ni aibu kubwa na mfano mbaya sana katika jamii.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-67662a
Nonesence!!!Dr. Willibrod Peter Slaa anashtakiwa kuvunja kifungu 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code, CAP. 16, R.E. 2022), kosa la UHAINI ambalo HALINA DHAMANA & adhabu yake ni KIFO.
Angalia usije ukabadili jina,mpaka nomba ya simu,kuna watu yaliwakuta haya wakati wa mwendazakeNdugu zangu watanzania,
Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi,hastahili kuendelea kupewa heshima hiyo,hastahili kuendelea kutambulikana kwa jina hilo,hastahili kuendelea kushikilia na kuitwa kwa jina hilo.amepoteza sifa kwa kuwa kwa sasa amekuwa Balozi wa machafuko,vurugu ,ubaguzi na mapinduzi haramu.
Sasa yupo mstari wa mbele kutaka kuipindua serikali yetu iliyopo kihalali madarakani,yupo kazini na kibaruani kuchochea na wakati wote amekuwa akichochea,kuhamasisha , kushawishi na kupandikiza mbegu ya chuki kwa watanzania ili waichukie serikali yao na waipindue na kuiondosha madarakani.
Tangia Dr Slaa Asitaafishwe ubalozi amekuwa na chuki kubwa sana kwa mh Rais wetu mama samia,ameonyesha waziwazi namna alivyo na chuki, hasira na kumchukia sana Rais samia,Amekuwa ni mtu ambaye moyo wake unatamani angekuwa na uwezo au nafasi basi angeweza kumuondoa madarakani hata leo hii kwa njia ya mapinduzi. Kibaya zaidi ni kuwa chuki zake zimekuwa hazina msingi wala mashiko zaidi tu ya kuwa na fikira za kibaguzi na chuki binafsi.
Kutokana na chuki hiyo binafsi iliyojaa katika kifua chake dhidi ya Rais wetu imepelekea muda wote kuwa mwenye maneno ya uchochezi ,chuki na hatarishi kwa usalama wa Taifa letu. Ni kwa mantiki hiyo sioni sababu ya kuendelea kutambulikana na kupewa heshima ya ubalozi,ni kwa maana hiyo Dr Slaa hatakiwi kuwa katika orodha ya mabalozi wastaafu na kupewa heshima ya kibalozi.Hastahili kwa sababu yupo katika vita ya kulipasua Taifa letu,vita ya kutaka kuipindua serikali yetu,vita ya kutaka kuleta machafuko nchini,vita ya kutaka serikali yetu iondolewe madarakani kwa njia haramu.
Kwa sasa ni Adui wa usalama wetu wa Taifa,ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa,Ni kirusi kwa umoja wa kitaifa ,Ni sumu kwa ustawi wa Taifa letu. Anataka kuliangamiza Taifa letu,Anataka kuwasha moto nchini,anataka kuliteketeza Taifa letu.Najiuliza kwanini Dr Slaa Tangia awali alionyesha kuwa na chuki na mh Rais? Nini Tatizo? Nani yupo nyuma yake? Anatumiwa na akina nani? Nani wafadhili wake? Nani wanampa nguvu? Kwanini iwe sasa? Kwanini amfanyie haya Rais samia? Kwanini awaze hata kuipindua serikali? Kwanini kwanini kwanini sasa? Nini shida ambayo sisi mamilioni ya watanzania hatuioni isipokuwa yeye tu Dr Slaa.?
Hatupo tayari na kamwe na katu hatutamuunga mkono Dr Slaa,tunamfahamu sana Dr Slaa,huwa ni mtu mwenye chuki sana unapokuwa utawala unaongozwa na watu fulani,ni mbaguzi sana Dkt Slaa na mtu mwenye chuki kubwa sana.Ndio maana watanzania baada ya kurejea historia yake wameamua kumpuuza na kutomuunga mkono na kumuacha aendelee kutapatapa.Ni aibu kwa mtu wa umri wake kushindwa kutumia busara ,hekima na ustaarabu katika kauli ,matendo na matamko yake mbele ya camera au jamii au majukwaani. Ni aibu kubwa na mfano mbaya sana katika jamii.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Ubalozi Alipewa Kwa RUSHWA?Ndugu zangu watanzania,

Kwani akiitwa au kutoitwa Balozi anapata faida ganiNdugu zangu watanzania,

Ndugu zangu watanzania,

Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi...
Taifa la tumbo lako. Tofauti yako na ChoiceVariable yeye haweki namba ya simu hapa kwa sababu kuna sehemu anakula. Wewe bado unatafuta endelea watakuonaSipo hapa na siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta uteuzi.mimi napigania Taifa langu
Kuhamasisha mapinduzi na machafuko hauwezi kuwa uhuru na haukubaliki mahali popote pale