Dkt. Willibrod Slaa Hastahili Kuendelea Kuitwa Balozi

Akson amekuahidi atakupigania upate udas? 😁😁😁 sio kwa kujikunja huko mwashambwa
Sipo hapa na siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta uteuzi.mimi napigania Taifa langu
 
Mkihitilafiana au kutofautiana na Baba yako ndio hatastahili Tena kuwa BABA YAKO???
Kiburi kinawapeleka pambaya.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huku tukienda mitamboni, balozi amesitisha mgomo wake na sasa amekubali na kuanza kunyea debe....
Hakuna namna...
 
alishasema chukueni ubalozi wenu kama ni kwa ajili ya kumfanya kuwa chawa,
 
Angalia usije ukabadili jina,mpaka nomba ya simu,kuna watu yaliwakuta haya wakati wa mwendazake
 
Ubalozi Alipewa Kwa RUSHWA?

Chukueni Kila kitu, meachieni UZALENDO wake.

Free our Prophets πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwani akiitwa au kutoitwa Balozi anapata faida gani
 
Kwanza Tengua kauli ya kutuita sie ndugu zako , watanzania halisi hawajahi kuwa wajinga hivi kufurahia mabaya kwa wananchi wenzao wanaodai haki
 
Ndugu zangu watanzania,

Ni dhahiri kwa matendo ,mwenendo ,kauli na matamshi mbalimbali ambayo yamekuwa yakitolewa na kutoka katika kinywa na mdomo wa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi...

Sijui umri wako, ila nadhan umeanza kufatilia siasa ukiwa mtu mzima Sana

Mpaka serikali inampa ubalozi wa ulaya huyo Dr slaa alikuwa anaongea zaidi ya aliyoyaongea this time

Na kupewa cheo au status na serikali haikunyimi na wala haikufungi kutoa maoni yako

Sio kila mtu anaepewa cheo flan anakuwa ni mramba miguu wa serikali kama wewe
 
Kuhamasisha mapinduzi na machafuko hauwezi kuwa uhuru na haukubaliki mahali popote pale

Wewe mbona unahamasisha avuliwe ubalozi

Tena umeandika maneno ya chuki dhidi yake

Uwez kudhan maandishi yako yanaweza kuchochea wanainchi wakawa na chuki dhidi yake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…