Dkt. Willibrod Slaa Hastahili Kuendelea Kuitwa Balozi

Mlimnunua mkampa na ubalozi leo hii mmemaliza matumizi nae mnampa kesi na wengne ndo km nyie mnataka ata heshima yake mlompa kwa mchongo mnataka iondoa

Ccm ipo sku dunia duala hii
 
Kuwa na hadhi ya ubalozi hapa Tanzania nayo ni sifa?!
 
Mlimnunua mkampa na ubalozi leo hii mmemaliza matumizi nae mnampa kesi na wengne ndo km nyie mnataka ata heshima yake mlompa kwa mchongo mnataka iondoa

Ccm ipo sku dunia duala hii
Alinunuliwa na nani? Kwa shilingi ngapi?
 
Mchochezi na mtu anayetaka kufanya mapinduzi haramu dhidi ya serikali halali iliyopo madarakani anapaswa kupingwa na kukemewa na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu
 
Inampunguzia nini au kumwongezea nini?,
 
Avuliwe ubalozi na anyongwe haraka
 
Slaa alitaka kutuharibia maridhiano yetu CHADEMA+VYAMA na Serikali Fala sana yule babu wacha awekwe store.
 
Slaa alitaka kutuharibia maridhiano yetu CHADEMA+VYAMA na Serikali Fala sana yule babu wacha awekwe store.
Anataka kuleta machafuko ili yeye akimbilie ulaya,.sasa acha akae ndani kwanza ajibu tuhuma zake zote.
 
Mabalozi kwa desturi, wanabakia na title zao kwa maisha. Naona ht ww hkuacha kumuita Balozi, 😆🤪ingawaje umejaribu kumuita Balozi wa machafuko kwa lengo la kumchafua, bado ni Balozi. Hivi wanaojichafua ham waoni?
 
Hivi kuna wana JF ambao huwa wanasoma magazeti yako kweli!!??

Jitahidi usiwe baba kama baba yako.
Nani huyu mkuu?

Au kati ya wale chawa waliotembezewa kipigo kule ngorongoro?
 
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…