Dkt. Willibrod Slaa Hastahili Kuendelea Kuitwa Balozi

Mchochezi na mtu anayetaka kufanya mapinduzi haramu dhidi ya serikali halali iliyopo madarakani anapaswa kupingwa na kukemewa na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu

Nani mwenye mapenzi mema?

Au unataka kusema ww ndio Una mapenzi mema because kila siku unakuja na Imra za kusifia hata visivyosifika?
 
Wewe pia hustahili kuitwa Binadamu unastahili kuitwa nyumbu. Hustahili kuitwa mzalendo Bali chizi aliyerogwa tena
 
Lengo la kuweka namba na majina yako ni Nini??


Au ndio unataka teuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asante mh Rais na hongera sanaa kwa uamuzi wako wa kishujaa .niliandika hapa juu ya kwanini Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuitwa Balozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…