Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dkt. Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Chanzo: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Naye atafutwa na ICC
 
Huyu mtu ndie kaja kuidhalilisha kabisa hiyo ofisi, matamko yake ya hovyo hovyo anayotoa kila siku yanaboa, ina maana anataka kuwafundisha watu cha kuongea?

Aache kujipendekeza kulikopitiliza kwa bosi wake, afanye kazi yake, na asidhani kuna mtu anatishika.
 
Wamfute Lissu haraka maana anachafua nchi kwa kupanda mbegu ya chuki na matusi kwenye jamii
 
Kweli nimeamini kuna watu wanajutaaaa kumpitisha Lissu.Unawezaje kusema haya wakati mtu tunayetegemea kumuongeza mitano tena ameshatamka yasiyotamkika mara nyingi?Hivi kweli umfute JPM patakalika humu?
 
Hili sasa linatafutwa mbeleko la chuma kumbeba mgombea wa CCM kwa namna yoyote ile. Na hii ni hila ya wazi ya kutaka kumnyazisha na kumtia hofu Tundu Lissu. Hivi huyu kikaragosi cha CCM anatambua "the aftermath" kwa haya anayoyafanya!
 
Mahela is stupid, anashindwa kuunganisha amani na haki. As long as hakuna haki, amani asahau, he will be accountable for whatever fate this country will find itself in!
Let's wait for the outcomes of your predictions.
 
Back
Top Bottom