Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dkt. Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Chanzo: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Ajaribu aone

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dkt. Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Chanzo: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389

Amfute mgombea wa CCM Kwa kutoa maneno ya uchochezi kuwa endapo wananchi watachagua mpinzani yeye atakusanya kodi zao na kwenda kupeleka maendeleo kwenye majimbo waliyoshinda CCM huu ni uchochezi hauwezi kuvumiliwa
 
Wamfute Lissu haraka maana anachafua nchi kwa kupanda mbegu ya chuki na matusi kwenye jamii

Anachagua nchi au mnaishika na nyomi yake subirini kazi ya 28 hesabu zitakuwa hivi Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu Lissu imeharibika Lissu Lissu Lissu Lissu Magu Lissu Lissu Lissu Lissu..............Lissu. Kuna watu watazimia
 
Mlianza kunukisha na Membe, Jana mkakinukisha na Lisu. Chakunuka kikagoma kunuka , mbu wakawatawanya softly.
Majuha mataga mnapenda kukariri, waliotawanyika kati ya polisi na CHADEMA ni nani? Mabomu na risasi hazikufanya kazi?
 
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dkt. Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Chanzo: Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Hivi huyu Pimbi ana akili timamu kweli . White paper inamhusu hajasoma yeye na bosi wake .
Screenshot_20201005-160455.png
Screenshot_20201005-004032.png
 
Back
Top Bottom