GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Kwani Mkurugenzi wa NEC tena 'Mzanaki' Mwenzangu ( Mwetu kabisa ) ameoteshwa lini kuwa kuanzia sasa 'Matusi' yataanza Kuporomoshwa mno?