Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Huyu anatafuta bwana. Acha aendelee kuchezesha hilo domo lake.
 
😂😂 Wapinzani bwana.
Can the Court prosecute individuals who are not members of any government or armed group?
Yes. The Court can prosecute persons who facilitate a crime. For example, if a person knows about plans to commit a crime and gives the perpetrator funds or arms to commit the crime, he or she might be prosecuted for having given this help. In the language of the Rome Statute such as person “aids, abets or otherwise assists” the commission of the crime.
 
Pole yako, na kama mtafi

Endelea kujifariji ti ndugu ni haki yako.
Kama ni maumivu mtaendelea nayo mitano tena
Ni vigumu kwa hofu mliyonayo, lakini ungejitahidi kutulia ili uandike kwa mtiririko uweze kueleweka
 
Huyo mzee na upara wake unaong'aa kama bilinganya basi anajiona mjanja,jpm ilitakiwa akapigwe ban hata siyo ya siku 7 bali mwezi🤣
 
Huyu mtu ndie kaja kuidhalilisha kabisa hiyo ofisi, matamko yake ya hovyo hovyo anayotoa kila siku yanaboa, ina maana anataka kuwafundisha watu cha kuongea?

Aache kujipendekeza kuliko pitiliza kwa bosi wake, afanye kazi yake, na asidhani kuna mtu anatishika.
Huyu pimbi hajui maana ya upinzani
Yaani ana lazimisha upinzani waisifu CCM??
Asubiri dawa yake iko kwenye kikombe. Anasubiri kuinywa.
 
Yote hii ni matokeo ya kile walichofanya kuzuia kampeni Mbowe akakubali sasa wameanza kutumia malungu zaidi baada ya kugundua akina Mbowe ni hamna kitu
 
Asisahau kumfuta na mgombea anayeongelea NGONO hadharani tena mbele ya wanafunzi wa shule ya msingi!!!
 
Sasa hivi watu wanatafuta umaarufu kwa njia yoyote ile, wanatengeneza tatizo na kulitatua wanaweza futa halafu Magufuli akatokea kusema arudishwe ili kutengeneza huruma
 
Kwani mahera ana nini. hiyo udoctor maandazi?
Mahela kupitia kamati ya maadili kampiga pini Lissu.
Haya nambie wewe Lissu labda hata waliompindisha mguu aliwafanya nini ukiacha Mahera aliemstopisha kampeni?
 
Huyu kada muengua wapinzani anatapatapa Sana angeanza na baba lao anaewatisha wapiga kura kwamba atawashughulikia
 
I wish mwenyekiti Wa chadema angekuwa Lema au Lisu,mbowe anatupeleka kimdebwedo sana .
Baada ya mbowe ni Heche ndie mtu sahihi asiyeuzika.Sumaye alitumwa kuuwa chama matokeo yake kafa yeye kisiasa
 
Back
Top Bottom