Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
Angekuwa HecheI wish mwenyekiti Wa chadema angekuwa Lema au Lisu,mbowe anatupeleka kimdebwedo sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa HecheI wish mwenyekiti Wa chadema angekuwa Lema au Lisu,mbowe anatupeleka kimdebwedo sana .
Hata yule anayewafokea wanatunduma kutowapelekea maji utafikiri hela anatoa Chato naye ni mgombea tu kama Mrema.Tundu Lisu ni mgombea tu kama alivyo Hashimu Rungwe!
Kilaza at his bestWamfute lisu haraka maana anachafua nchi kwa kupanda mbegu ya chuki na matusi kwenye jamii
Yahya Jammeh alikuwa anajiona hawezi kuondoka madarakani. Mpigie simu umuulize yuko wapi now!Mtaona aibu sana, nyie endeleeni na upuuzi wenu,
Nasikia tarime mlipiga watu na mapanga mtafutwa na hakuna sehemu mtaenda.
Not more than how you are.You must be nuts, kama nyinyi CCM mlivyo mashujaa wa policcm, NECCCM, MahakamaCCM.
Lissu ananini cha kumtisha Mahela mpaka amjue?huyu inaelekea hamjui Tundu Lissu huyu... ATALEGEA tu kama bosi wake!
Katiba na Mfumo wa utawala wa Tz hauchochei kabisa hicho unachokiwaza.Amiri Jeshi mkuu,Mkuu wa majeshi,IGP,Jaji mkuu,Mwanasheria mkuu,Mawaziri,Wakuu wa mikoa na wilaya wote hao wako submissive kwa huyo unaetamani atolewe kwa njia hiyo unayo propose wewe. Na hiki ndo kinaifanya TZ iendelee kuwa nchi ya amani licha ya watu wenye mawazo Kama yako kuwepo.Yahya Jammeh alikuwa anajiona hawezi kuondoka madarakani. Mpigie simu umuulize yuko wapi now!
Na kama MagufuliTundu Lisu ni mgombea tu kama alivyo Hashimu Rungwe!
....huyu jamaa ni kituko kweli kweli...Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Matamko mabaya anayo Lissu,tatizo anajiona yeye kasoma kuwaliko watu wote TanzaniaHuyu mtu ndie kaja kuidhalilisha kabisa hiyo ofisi, matamko yake ya hovyo hovyo anayotoa kila siku yanaboa, ina maana anataka kuwafundisha watu cha kuongea?
Aache kujipendekeza kuliko pitiliza kwa bosi wake, afanye kazi yake, na asidhani kuna mtu anatishika.
Jidanganye na ICC yako..... Inchi kama Burundi ilishajitoa na ICC yenu... Iweje TANZANIA [emoji1241]?, mnafikiria kwa kutumia kamasi. Ulishaona rais mweupe wa ulaya akashitakiwa na huyo mamaenu ICC? Kichwa kama ICC shenziNaye atafutwa na ICC
Hao wote uliowataja ni wanafiki sabau ya matumbo yao. Hakuna mwenye upendo wa dhati na Magufuli.Hakuna anyefurahia mauaji, kupotea watu, maiti kuzagaa coco beach, etc etc etc! hata kwa jahmeh ilikuwa hivyo hivyo, yalipoingia ajeshi ya ECOWAS feeling halisi za watu na wanajeshi zilikuwa wazi. kama unakumbuka vema, Mkuu wa majeshi alikataa kuwaua watu/kuliingiza jeshi katika siasa....... akatimka...Katiba na Mfumo wa utawala wa Tz hauchochei kabisa hicho unachokiwaza.Amiri Jeshi mkuu,Mkuu wa majeshi,IGP,Jaji mkuu,Mwanasheria mkuu,Mawaziri,Wakuu wa mikoa na wilaya wote hao wako submissive kwa huyo unaetamani atolewe kwa njia hiyo unayo propose wewe. Na hiki ndo kinaifanya TZ iendelee kuwa nchi ya amani licha ya watu wenye mawazo Kama yako kuwepo.
Maana yake kuna mtu anamlenga. Mungu atawaumbua tu.Kweli nimeamini kuna watu wanajutaaaa kumpitisha Lissu.Unawezaje kusema haya wakati mtu tunayetegemea kumuongeza mitano tena ameshatamka yasiyotamkika mara nyingi?Hivi kweli umfute JPM patakalika humu?
Aanze na magufuli alipomtaka "Sugu"amsugue amuulize alimaanisha niniMkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Wamfute lisu haraka maana anachafua nchi kwa kupanda mbegu ya chuki na matusi kwenye jamii
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389