Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

Sijasikia mgombea yeyote tangu kampeni zianze anayetukana au kutoa matusi kwa mpinzani wake. Sijasikia. Mahera asipindishe hoja zilizo na ukweli kuwa matusi. Ajipime kwa sababu amani ya nchi hii iko mikononi mwake.
 
Apeleke uccm wake huko,kwaio kitendo cha lissu kusema magu kajenga airport kwake ndo uchochezi na matusi ,
 
Dunia inaenda kasi sana.
Nyerere alipigania uhuru kumwondoa mkoloni na baada akamgomea kuja kurubuni madini yetu, Leo Tundu anampigania mkoloni ili aje abinafsishe biashara zetu na amkabidhi madini kama dhamana ya kupata pasa
Haki sioni tofauti Kati ya wale machief waliopewa glass na wine wakatoa rasilimali zetu na Tundu
 
Wakati huu inabidi Mbowe aachie Chama.

Ni wakati wa Heche, Lema, Lissu, Mdee, Kigaila, Sugu, Matiko, Mdude. Hawa ndio wanamudu hiki kipindi kigumu.

Mbowe has proven failure.
 
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Atawafuta kwa kutumia kifungu kipi cha sheria? Hivi huyu jamaa ni PhD holder wa ukweli au ndio wale wa degree za chu.pi?
 
Wamfute Lissu haraka maana anachafua nchi kwa kupanda mbegu ya chuki na matusi kwenye jamii
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Double standards hazisaidii, zinazua taflani nchini.
Waanze kumfuta yule mgombea wa CCM aliyewatisha wananchi wa Tunduma, Mwanza na Bukoba
Tatizo CCM na wana-CCM wanajiona wao ndiyo wao. Hakuna wa kuwadhibiti isipokuwa wao ndiyo wako kwa ajili ya kudhibiti wengine.
 
Dunia inaenda kasi sana.....
Nyerere alipigania uhuru kumwondoa mkoloni na baada akamgomea kuja kurubuni madini yetu, Leo Tundu anampigania mkoloni ili aje abinafsishe biashara zetu na amkabidhi madini kama dhamana ya kupata pasa
Haki sioni tofauti Kati ya wale machief waliopewa glass na wine wakatoa rasilimali zetu na Tundu
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
NEC inaanda mazingira ili “isije kulaumiwa”.

Come to think of it, hakuna haja ya kurusha matusi julwaani. Nondo tu zilizoshiba with facts ni silaha tosha

Wale ambao wapo targeted (ambao CCM haitaki kuwaona wanarudi bungeni kama Sugu, Heche, Bulaya etc ) ni bora kutake note
 
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu Serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
 
NEC inaanda mazingira ili “isije kulaumiwa”.

Come to think of it, hakuna haja ya kurusha matusi julwaani. Nondo tu zilizoshiba with facts ni silaha tosha

Wale ambao wapo targeted (ambao CCM haitaki kuwaona wanarudi bungeni kama Sugu, Heche, Bulaya etc ) ni bora kutake note

CCM haiwez kushusha nondo bila kutaja chadema

Angalia press za pole pole, tangu mwanzo ni maneno ya dharau tu kwa viongozi wa upinzani, but hakuna mtu anasema kitu chochote

Adhubutu kusema upinzani ni wauwaji, na ni majambazi ya kisiasa

Hivi Lisu akisema jpm ni jambazi la siasa ataachwa kweli?
 
NEC inaandaa mazingira ili “isije kulaumiwa”.

Come to think of it, hakuna haja ya kurusha matusi jukwaani. Nondo tu zilizoshiba with facts ni silaha tosha

Wale ambao wapo targeted (ambao CCM haitaki kuwaona wanarudi bungeni kama Sugu, Heche, Bulaya etc ) ni bora kutake note
 
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.

Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.

Source Eatv habari

Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Huyu sitaki hata kusikia anasema nini manake naweza ku....hovyo ya nchi hii.
 
Huyu mtu ndie kaja kuidhalilisha kabisa hiyo ofisi, matamko yake ya hovyo hovyo anayotoa kila siku yanaboa, ina maana anataka kuwafundisha watu cha kuongea?

Aache kujipendekeza kuliko pitiliza kwa bosi wake, afanye kazi yake, na asidhani kuna mtu anatishika.

Alishatoa muongozo kuwa wagombea wazungumzeie tu baranara, huduma za afya, maji, elimu na mambo kama hayo! Hii nayo ni Ph. D! Very primitive! Uhuru kwanza. Mambo mengine yatafuata baada ya hapo.
 
Back
Top Bottom