johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naye atafutwa na ICCMkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Tundu Lissu ni mgombea tu kama alivyo Hashimu Rungwe!huyu inaelekea hamjui Tundu Lissu huyu... ATALEGEA tu kama bosi wake!
😂😂 Wapinzani bwana.Naye atafutwa na ICC
Mlisema hivi wakati akimlima Tundu kofuli la week, lakini Tundu mwenyewe kapokea kwa moyo mkunjufu na katekeleza adhabu kwa utiifu uliotukukahuyu inaelekea hamjui Tundu Lissu huyu... ATALEGEA tu kama bosi wake!
😂😂 Wapinzani bwana.
...kama alivyo Magufuli.Tundu Lisu ni mgombea tu kama alivyo Hashimu Rungwe!
Tundu Lissu ana hekima ya u Head of State.Mlisema hivi wakati akimlima tundu kofuli la week, lakini Tundu mwenyewe kapokea kwa moyo mkunjufu na katekeleza adhabu kwa utiifu uliotukuka
I wish mwenyekiti Wa CHADEMA angekuwa Lema au Lissu,Mbowe anatupeleka kimdebwedo sana .Hapo lumumba wanafurahi meno nje
Ni kweli Bwashee, hata Magu ni mgombea tu kama alivyo Queen!Tundu Lisu ni mgombea tu kama alivyo Hashimu Rungwe!
Let's wait for the outcomes of your predictions.Mahela is stupid, anashindwa kuunganisha amani na haki. As long as hakuna haki, amani asahau, he will be accountable for whatever fate this country will find itself in!
You must be nuts, kama ninyi CCM mlivyo mashujaa wa policcm, NECCCM, MahakamaCCM.Mashujaa wa Jf [emoji23][emoji23]
Mtaona aibu sana, nyie endeleeni na upuuzi wenu,Naye atafutwa na ICC