Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gekul hakushitakiwa na DPP, alishitakiwa na wakili wa kujitegemea aliyeshindwa kufuata procedure. hii ya RC naona DPP mwenyewe kupitia ofisi yake ya mwanza kamshitaki. ngoja tuone.Hili naona nalo ni igizo lingine huku wakifanya diversion kwenye issue za msingi.
Hivi kesi ya Gekul iliishia wapi?
Sabaya alishitakiwa na nani?Gekul hakushitakiwa na DPP, alishitakiwa na wakili wa kujitegemea aliyeshindwa kufuata procedure. hii ya RC naona DPP mwenyewe kupitia ofisi yake ya mwanza kamshitaki. ngoja tuone.
Hayo mawili kaadhibiwa kisiasa lakini pia yana adhabu ya kimahakama. Hili la kesi ya ulawiti hata mimi nina uhakika Samia atamlinda. Nimegundua kuwa Samia anataka viongozi wa CCM bara wamwone kama ni mtu poa anayewaacha kufanya lolote ili wawe tayari kumtetea kwenye uchaguzi wa 2025. Ana wasiwasi nao sana kwa sababu mtaani hakubaliki.Hayo mawili ameshaadhibiwa ndiyo maana yuko bench sasa hivi.
Si unaona hata mwenyewe hana wasi wasi muda wote anacheka na kutabasamu. Hiyo kesi imeshamalizwa 'kimila' kinachaoendelea hapo ni mazingaombwe tu mwisho wa siku anaonekana hana hatia.
Pamoja na kuwa huyo mwalimu alifanya kitendo kibaya lakini hiyo miaka 30 haiendani na kosa. Mwanafunzi mwenyewe ni mtu mzima.Hii nchi sijui inaenda wapi mkuu wa mkoa anatuhumiwa kula washeli ya mwanafunzi, Mwanza mwalimu kala mvua thelathini kwa kuliwa washeli na mwanafunzi.!!!!
Kiongozi ilitakiwa mtu afungwe miaka mingapi ili adhabu iendane na kosa?Pamoja na kuwa huyo mwalimu alifanya kitendo kibaya lakini hiyo miaka 30 haiendani na kosa. Mwanafunzi mwenyewe ni mtu mzima.
whatever the case ndugu, iwe ccm wanafanya maigizo au la lakini wananchi ndio wameshinda manake wamepiga kelele hadi jamaa kafikishwa mahakamani.Sabaya alishitakiwa na nani?
Hivi kwa ushahidi crystal clear wa matukio ya Sabaya kwa nchi yenye mahakama zenye uweledi unafikiri alikuwa ni kuwepo uraiani?
Mimi siku zote huwa napinga hii adhabu ya miaka 30 kwa mtu anayetembea na mwanafunzi ambaye ni mtu mzima. Hawa wanaotembea na under-age sina tatizo wacha wafungwe. lla mwanafunzi mtu mzima ni ujinga.Kiongozi ilitakiwa mtu afungwe miaka mingapi ili adhabu iendane na kosa?
Sema kuna mambo yanatia aibu sana aisee shida ni kwamba hata kama unasingiziwa waswahili hawataamini kama kweli hukufanya..Aibu kwa familia,Phd kulawiti bila kilainishi
Ameshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Umeamua kutafuta kazi kinguvuAmeshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.
Sheria ya Kanuni ya adhabu
Kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 154 (1) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kinasema kwamba, mtu yeyote ambaye (a) anamuingilia mtu yeyote kinyume na maumbile au, (b) anamuingilia mnyama kimwili au (c) anamruhusu mwanaume kumwingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.
Defence yake ni "binti ni mpenzi wake, katika kukuru kakara, ikapotea tuu njia, ndio ikapenye uwani, but it was not planned, its an accident!. Ukifanya jinai ya actus reus bila mens rea, japo ni kosa, lakini huna hatia!.
Hii kesi imeisha kabla haijaanza!.
Niliwahi kusema humu
Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?.
P
pasko sina uhakika kama ulishawahi kufika mahakamani, though nafahamu wewe ulisoma sheria.Ameshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.
Sheria ya Kanuni ya adhabu
Kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 154 (1) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kinasema kwamba, mtu yeyote ambaye (a) anamuingilia mtu yeyote kinyume na maumbile au, (b) anamuingilia mnyama kimwili au (c) anamruhusu mwanaume kumwingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.
Defence yake ni "binti ni mpenzi wake, katika kukuru kakara, ikapotea tuu njia, ndio ikapenye uwani, but it was not planned, its an accident!. Ukifanya jinai ya actus reus bila mens rea, japo ni kosa, lakini huna hatia!.
Hii kesi imeisha kabla haijaanza!.
Niliwahi kusema humu
Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?.
P
Acha kudanganya wenzako na kuwalisha matango pori, kesi huwa hazifutwi kirahisi hivyo.Kama ingekuwa nchi kama Marekani ambako kuna makampuni ya uchunguzi yaliyosajiliwa kampuni mojawapo ingepewa kazi na wakili wa mtuhumiwa kuchunguza credibility ya huyo binti yaani matendo yake ya nyuma , kama aliwahi kudanganya kwa masuala ya kisheria, ikithibitika aliwahi kuongopa basi kesi ingetupwa. Rejea kesi ya Rais wa zamani wa banki ya Dunia ilikuwa kama hii. Kuna binti mfanyakazi wa hoteli alimpakazia kuwa amembaka, Huyo binti anatoka Africa Magharibi, basi hiyo kampuni ikafanya uchunguzi ikaonekana huko nyuma huyo binti wakati anaomba visa kuingia Marekani aliwahi kudanganya hivyo sio credible; kwa,msingi huo kesi ya ubakaji dhidi ya Rais huyo wa zamani wa benki ya dunia ikatupwa.
Ulawiti si zaidi ya ubakaji kwa bongo?!Ya kubaka ndiyo haina dhamana.
Kuna kosa zito zaidi ya ulawiti??Kama ameshtakiwa kwa kosa moja tu la ulawiti basi kuna namna inachorwa ili achomoke. Au pengine hayo mengine yatafuata baadae? Kwa sababu hayo mengine yana ushahidi wa nguvu sana.
Kwa nini aliwapa pesa huyo binti na mama yake?Alikwenda hospitali ndiyo. Shida itakuwa nani sasa kafanya hivyo? Maana tuhuma tu siyo ushahidi; ushadi ni kuithibitishia mahakama kwamba aliyefanya hivyo ni huyu mkuu. Nani aliona? Kama aliona ataonyeshaje alivyoona, na unajua mawakili walivyo vibaya kwenye cross-examination, wanakutoa kwenye reli hata kama una nondo. Yaani, ngoja tusubiri maana nilisikia kama upelelezi umekamilika.
N kosa zito. Ila nilikuwa nazungumzia urahisi wa kuchezea ushahidi wa kuweza kumtia hatiani. Hayo mengine ya kujaribu kuzuia sheria na kutumia madaraka vibaya ushahidi wake ni wazi. Hivyo nikasema wameona wafanye mazingaombwe kwenye hilo la ulawiti (yaani ni hisia zangu tu)Kuna kosa zito zaidi ya ulawiti??
Kwamba alikuwa anahitaji pesa nyingi zaidi alizopewa yeye na mama yake??Sio kweli.Huyo Binti ana Historia hiyo ya kubambikia watu kesi.
Mfano Dereva bodaboda kwao Sumbawanga,walitaka kumtoa kafara na Mama yake!
Mahakama ikamuondolea kosa la ubakaji,maana Binti kwenye mahojiano Mahakamani alikiri kuwa walikuwa wapenzi.
Kwa case ya Nawanda,nawajua baadhi ya mabinti wa chuo na tamaa zao.Wanaweza kufanya chochote kwa sababu ya pesa.
Ndio maana tumeiachia Mahakama itende Haki.
Kwangu Mimi Binadamu wote ni sawa.Hiaijalishi Cheo,Pesa,Nguvu,Madaraka au Jinsia.
Hii kesi ikifanya kihalali nadhani ushahidi uko wazi.Kwa nini aliwapa pesa huyo binti na mama yake?
Kwa nini alimwandikisha huyo binti barua inayosema alikuwa anatumika kisiasa?
Kwa nini mkuu wa mkoa wa Mwanza alikuwa anaingilia kesi ya huyo binti?
Huyo binti alipopimwa hospitali matokeo yalikuwa ni yapi?
Hii kesi inaweza kuisha vizuri kwa Nawanda kama haya yote hayakutokea au kwa kuvuruga tu ushahidi wote huu.
Of course, ni maswali mazuri ya kujiuliza. Lakini je, ndiyo ushahidi kuonyesha kwamba "alilawiti"?Kwa nini aliwapa pesa huyo binti na mama yake?
Kwa nini alimwandikisha huyo binti barua inayosema alikuwa anatumika kisiasa?
Kwa nini mkuu wa mkoa wa Mwanza alikuwa anaingilia kesi ya huyo binti?
Huyo binti alipopimwa hospitali matokeo yalikuwa ni yapi?
Hii kesi inaweza kuisha vizuri kwa Nawanda kama haya yote hayakutokea au kwa kuvuruga tu ushahidi wote huu.