Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Hili naona nalo ni igizo lingine huku wakifanya diversion kwenye issue za msingi.

Hivi kesi ya Gekul iliishia wapi?
 
Hili naona nalo ni igizo lingine huku wakifanya diversion kwenye issue za msingi.

Hivi kesi ya Gekul iliishia wapi?
Gekul hakushitakiwa na DPP, alishitakiwa na wakili wa kujitegemea aliyeshindwa kufuata procedure. hii ya RC naona DPP mwenyewe kupitia ofisi yake ya mwanza kamshitaki. ngoja tuone.
 
Gekul hakushitakiwa na DPP, alishitakiwa na wakili wa kujitegemea aliyeshindwa kufuata procedure. hii ya RC naona DPP mwenyewe kupitia ofisi yake ya mwanza kamshitaki. ngoja tuone.
Sabaya alishitakiwa na nani?

Hivi kwa ushahidi crystal clear wa matukio ya Sabaya kwa nchi yenye mahakama zenye uweledi unafikiri alikuwa ni kuwepo uraiani?
 
Hayo mawili ameshaadhibiwa ndiyo maana yuko bench sasa hivi.
Si unaona hata mwenyewe hana wasi wasi muda wote anacheka na kutabasamu. Hiyo kesi imeshamalizwa 'kimila' kinachaoendelea hapo ni mazingaombwe tu mwisho wa siku anaonekana hana hatia.
Hayo mawili kaadhibiwa kisiasa lakini pia yana adhabu ya kimahakama. Hili la kesi ya ulawiti hata mimi nina uhakika Samia atamlinda. Nimegundua kuwa Samia anataka viongozi wa CCM bara wamwone kama ni mtu poa anayewaacha kufanya lolote ili wawe tayari kumtetea kwenye uchaguzi wa 2025. Ana wasiwasi nao sana kwa sababu mtaani hakubaliki.
 
Hii nchi sijui inaenda wapi mkuu wa mkoa anatuhumiwa kula washeli ya mwanafunzi, Mwanza mwalimu kala mvua thelathini kwa kuliwa washeli na mwanafunzi.!!!!
Pamoja na kuwa huyo mwalimu alifanya kitendo kibaya lakini hiyo miaka 30 haiendani na kosa. Mwanafunzi mwenyewe ni mtu mzima.
 
Sabaya alishitakiwa na nani?

Hivi kwa ushahidi crystal clear wa matukio ya Sabaya kwa nchi yenye mahakama zenye uweledi unafikiri alikuwa ni kuwepo uraiani?
whatever the case ndugu, iwe ccm wanafanya maigizo au la lakini wananchi ndio wameshinda manake wamepiga kelele hadi jamaa kafikishwa mahakamani.
 
Aibu kwa familia,Phd kulawiti bila kilainishi
Sema kuna mambo yanatia aibu sana aisee shida ni kwamba hata kama unasingiziwa waswahili hawataamini kama kweli hukufanya..

Eg;jamaa hapa kuanzia mkewe,wanae wa kike na wa kiume,dada zake wadogo zake mama zake baba yake wajomba zake WAKWE zake shemeji zake taja utakaoweza wote akilini mwao wakimuona jamaa kwa sasa wanamuona ni mtu hatari AKA mtatua marinda aloo siyo poa.
 
Ameshitakiwa kwa kesi ndogo tuu, consensual relationship na sio ubakaji, hii ni kesi very light, akipata wakili mzuri, hakuna kesi hapo!.
Sheria ya Kanuni ya adhabu

Kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 154 (1) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16, kinasema kwamba, mtu yeyote ambaye (a) anamuingilia mtu yeyote kinyume na maumbile au, (b) anamuingilia mnyama kimwili au (c) anamruhusu mwanaume kumwingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume na maumbile atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.

Defence yake ni "binti ni mpenzi wake, katika kukuru kakara, ikapotea tuu njia, ndio ikapenye uwani, but it was not planned, its an accident!. Ukifanya jinai ya actus reus bila mens rea, japo ni kosa, lakini huna hatia!.
Hii kesi imeisha kabla haijaanza!.
Niliwahi kusema humu

Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?.​

P
 
Umeamua kutafuta kazi kinguvu
 
pasko sina uhakika kama ulishawahi kufika mahakamani, though nafahamu wewe ulisoma sheria.

unnatural offence chini ya kifungu cha 154 ulichoweka, umeichukulia masihara sana na unampoteza jamaa, hakuna wakili atachukua huo ushauri wako kwa mteja anayempenda.

kwenye kesi za kubaka na kulawiti, msimamo wa sheria ni kwamba, ushahidi wa binti ndio unaoaminiwa zaidi hasa kama Mahakama itaona ni credible, ukionekana ameongea kwa kunyooka vizuri hauhitaji hata corroboration. lakini katika kesi hii, kuna corroboration kibao.
1. corroboration ya kwanza ni ushahidi wa mama wa binti
2. bank statement kuhonga
3. marafiki wa binti aliokuwa anawaomba wamuombee msamaha
4. uwepo wake eneo la rock city.
5. cctv footage ya pale rock city

ikithibitika tu kwamba kwamba ni kweli alifika eneo la rock city, alikuwa mpenzi wake, alikuwa anawasiliana naye siku ya tukio, aliwasilana na mama wa binti, aliwasiliana na marafiki zake, kwisha habari. vikithibitika hivyo, kuna kitu gani kitakachoifanya mahakama isiamini kuwa anachokisema binti ni cha kweli? wewe unasema ataseme iliteleza, wakati binti anasema hata mara ya kwanza kabla hawajaachana waliachana kwa sababu aliomba mlango wa nyuma na siku hiyo alipofika kwenye gari akamwomba mlango wa nyuma na baada ya kumaliza kaampa hela na kusema umasikini anajitakia awe anatoa mlango wa nyuma apewe hela. ulishawahifika mahakamani kweli wewe? hii ndio shida ya kusoma sheria na kuiweka kapuni na bado unajiita mwanasheria. (no offence though).

hata hivyo najua unatania, pasko utani mwingi sometimes kwenye mambo ya msingi.
 
Acha kudanganya wenzako na kuwalisha matango pori, kesi huwa hazifutwi kirahisi hivyo.
Utawaponza vichwa panzi waende kubaka na kulawiti watu waliowahi kudanganya mahakamani wakiamini hakuna atakayewasikiliza tena hao wahanga wao lakini nakuambia watatiwa hatiani na kula mvua nyingi sana.
 
Kwa nini aliwapa pesa huyo binti na mama yake?
Kwa nini alimwandikisha huyo binti barua inayosema alikuwa anatumika kisiasa?
Kwa nini mkuu wa mkoa wa Mwanza alikuwa anaingilia kesi ya huyo binti?
Huyo binti alipopimwa hospitali matokeo yalikuwa ni yapi?
Hii kesi inaweza kuisha vizuri kwa Nawanda kama haya yote hayakutokea au kwa kuvuruga tu ushahidi wote huu.
 
Kuna kosa zito zaidi ya ulawiti??
N kosa zito. Ila nilikuwa nazungumzia urahisi wa kuchezea ushahidi wa kuweza kumtia hatiani. Hayo mengine ya kujaribu kuzuia sheria na kutumia madaraka vibaya ushahidi wake ni wazi. Hivyo nikasema wameona wafanye mazingaombwe kwenye hilo la ulawiti (yaani ni hisia zangu tu)
 
Kwamba alikuwa anahitaji pesa nyingi zaidi alizopewa yeye na mama yake??
 
Hii kesi ikifanya kihalali nadhani ushahidi uko wazi.
 
Of course, ni maswali mazuri ya kujiuliza. Lakini je, ndiyo ushahidi kuonyesha kwamba "alilawiti"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…