Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti

Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke

Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.

====

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.

Pia soma
Kiutani utani exRC anaenda pensheni ya maisha jela
 
TOKA MAKTABA :

11 June 2024
Tazama hotuba ya Mwisho ya Dkt Yahaya Nawanda siku moja kabla ya uteuzi wake kutenguliwa, aliyoitoa kwa viongozi wa dini ambao ni wajumbe wa kamati ya amani wa mkoa wa simiyu.Alipokuwa akifungua semina ya kubadilisha na uzoefu na kujadili namna ya kuendesha kamati hizo baina ya wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa wa Simiyu na mkoa wa Mwanza iliyofanyika Bariadi mjini jana June 10,2024.... mbele ya Askofu Bundala, Sheikh Twaha na viongozi wengine wazito wa imani ...
UTULIVU WA MOYO NA WA KIROHO WATAWALA HOTUBA YA MKUU WA MKOA

View: https://m.youtube.com/watch?v=OkAZSbuEB5I

Mshenzi kweli huyo! Anaongea kinafiki huku akimtaja Mungu na Raisi akifahamu fika recently katoka kulawiti. Bahati mbaya kwake hakucheleweshwa!
 
Samia anateua viongozi wenye kudhalilishwa Serikali yake,

1. Naibu waziri, alisababisha mwanachuo kufariki, Hadi Leo hakuna kesi.

2. Na Wana anatuhumiwa kulawiti.

Sasa tatizo Hasa ni nini🤔
Umemsahau mama chupa wa babati
 
Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti

Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke

Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.

====

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.

Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022

Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.

Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.

Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.

Pia soma
Watoto wake sijui wanamuonaje
 
Nasikia Ni AL HAJ halafu anafunga mfungo wa ramadhani lkn pia ameshawahi kuonekana masjid.
Sijui mke na watoto wake wanajisikiaje. Vijana wake wa kiume wanajisemea kimoyo moyo, kumbe baba anapenda tigo? Hivi nanihii atakua na marinda kweli Kama baba alianza huu mchezo zamani?
Ha ha ha! Kwamba watoto picha ya mama yao itawajia kichwani! Noma sana.
 
mke wake itakuwa akikatiza mtaani watu wanachungulia pale nyuma yake halafu wanamhurumia. Picha wanayoipata ni pipe ya kutolea maji taka toka Muhimbili kuelekea baharini ikiwa wazi na pana zaidi.
 
Fidia atakayodaiwa huyo binti ni kubwa, waliomtuma hawatweza kumlipia, na atafungwa.

Alimuonea tu bodaboda wa Mpanda kwa sababu hakuwa na mwanasheria, safari hii ameyakanyaga.

Huo ushahidi wake ni kutengeneza, utachakazwa vikali kwny cross examination ya mwanasheria mahiri.
Wewe ndio Nawanda mwenyewe, ulikuwa unafanya nini na bint pale parking ya magari kwenye kile kimkebe chako? Na hujui huyo boda alikuwa akiishi na mwanafunzi?
 
Una uhakika na unalotuhumu?
Chuki inakusumbua; kutuhumiwa sio lazima mtu awe Ametenda kosa kweli. Mahakama Itapima na kuamua kwa mujibu wa ushahidi
Mahakama za bongo NAWANDA anashinda mchana kweupe, kama SABAYA yupo NAWANDA ni nani hadi afungwe?
 
Kwa kesi ya Nawanda wewe kama huna cheo huna cha kuhofia msijipe umuhimu kiivyo
mahala gani ambapo nimejipa umuhimu ? Nimeelezea kilichotokea, na nikakuuliza bodaboda ana cheo gani , na nikakuambia hizi zimekuwa tabia za wadada wengi sikuhizi, na vimekuwa vinawakuta wanaume wengi tu, kujikuta wana fedheheka kw jamii zao.. kutunza utu na heshima yako sio lazima uwe na cheo.. uwe muelewa mkuu
 
yaani kuna watu hadi leo wanaamini jamaa kabambikizwa. sawa na watu hadi leo wanaamini bashite ni msafi na anasingiziwa tu. na kuna watu wanaamini hadi leo sabaya ni msafi na alisingiziwa tu. hii ndio akili ya wabongo.
hao walipishana, na kama walifanya ni michezo yao mda mrefu.. kumfir mtu kwenye gari mama crown ujue huyo mtu ni mzoefu.. kumfir mwanamke sio sawa kumuingilia kwenye kei na hasa kama hajawa firw kwenye gari kama crown na kwa nusu saa isingewezekana.. hapo kuna vingi vipo nyuma, wahusika wanajua zaidi yetu
 
Sema kuna mambo yanatia aibu sana aisee shida ni kwamba hata kama unasingiziwa waswahili hawataamini kama kweli hukufanya..

Eg;jamaa hapa kuanzia mkewe,wanae wa kike na wa kiume,dada zake wadogo zake mama zake baba yake wajomba zake WAKWE zake shemeji zake taja utakaoweza wote akilini mwao na wakimuona jamaa kwa sasa wanamuona ni mtu hatari AKA mtatua marinda aloo siyo poa.
Aibu sana kwa kweli,yaani unaonekana bazazi kweli,imani na wewe hawana tens hata kukuachia mtoto hawawezi
 
Nasikia Ni AL HAJ halafu anafunga mfungo wa ramadhani lkn pia ameshawahi kuonekana masjid.
Sijui mke na watoto wake wanajisikiaje. Vijana wake wa kiume wanajisemea kimoyo moyo, kumbe baba anapenda tigo? Hivi nanihii atakua na marinda kweli Kama baba alianza huu mchezo zamani?
🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ndio Nawanda mwenyewe, ulikuwa unafanya nini na bint pale parking ya magari kwenye kile kimkebe chako? Na hujui huyo boda alikuwa akiishi na mwanafunzi?
Milioni 10 alizotaka alipata, shida nini
Wewe ndio Nawanda mwenyewe, ulikuwa unafanya nini na bint pale parking ya magari kwenye kile kimkebe chako? Na hujui huyo boda alikuwa akiishi na mwanafunzi?
Yeye si alitaka milioni 10 akapewa, kama alikuwa hataki si angekataa?
 
hao walipishana, na kama walifanya ni michezo yao mda mrefu.. kumfir mtu kwenye gari mama crown ujue huyo mtu ni mzoefu.. kumfir mwanamke sio sawa kumuingilia kwenye kei na hasa kama hajawa firw kwenye gari kama crown na kwa nusu saa isingewezekana.. hapo kuna vingi vipo nyuma, wahusika wanajua zaidi yetu
cha muhimu ni kwamba alimlawiti kweli, iwe ilikuwa mara ya kwanza au ya mia moja, ila RC alimlawiti. ndio hoja.
 
Back
Top Bottom