Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Ni Daktari wa PHD, alisoma kwazulu Natali University, mambo ya environment and development studies.Sorry naomba kuuliza, mshikaji ni Dr Wa PhD ama Dr wa binadamu?
Alikuwa lecturer hapa TZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Daktari wa PHD, alisoma kwazulu Natali University, mambo ya environment and development studies.Sorry naomba kuuliza, mshikaji ni Dr Wa PhD ama Dr wa binadamu?
Kiutani utani exRC anaenda pensheni ya maisha jelaAmeburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.
Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.
Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
Pia soma
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
- RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda
TOKA MAKTABA :
11 June 2024
Tazama hotuba ya Mwisho ya Dkt Yahaya Nawanda siku moja kabla ya uteuzi wake kutenguliwa, aliyoitoa kwa viongozi wa dini ambao ni wajumbe wa kamati ya amani wa mkoa wa simiyu.Alipokuwa akifungua semina ya kubadilisha na uzoefu na kujadili namna ya kuendesha kamati hizo baina ya wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa wa Simiyu na mkoa wa Mwanza iliyofanyika Bariadi mjini jana June 10,2024.... mbele ya Askofu Bundala, Sheikh Twaha na viongozi wengine wazito wa imani ...
UTULIVU WA MOYO NA WA KIROHO WATAWALA HOTUBA YA MKUU WA MKOA
View: https://m.youtube.com/watch?v=OkAZSbuEB5I
Umemsahau mama chupa wa babatiSamia anateua viongozi wenye kudhalilishwa Serikali yake,
1. Naibu waziri, alisababisha mwanachuo kufariki, Hadi Leo hakuna kesi.
2. Na Wana anatuhumiwa kulawiti.
Sasa tatizo Hasa ni nini🤔
Watoto wake sijui wanamuonajeAmeburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kusomewa shitaka moja la kumwingilia kinyume na maumbile Tumsiime Ngemela (21) katika eneo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mshtakiwa huyo amefikishwa katika mahakama hiyo mapema leo Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka hilo ambalo anadaiwa kulitenda Juni 2, 2024 katika eneo hilo kinyume na kifungu cha sheria cha 154 kifungu kidogo (a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Erick Maley, Waendesha mashtaka wa kesi hiyo ambao ni Wakili wa serikali Magreth Mwaseba na Martha Mtiti waliitaja kesi hiyo kuwa ni kesi namba 1883 ya mwaka 2024.
Hatahivyo mshtakiwa alikana shtaka hilo na yuko nje ya dhamana baada ya kukamilisha masharti aliyokuwa amewekewa ambayo ni kuwa mtumishi wa serikali pamoja na bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh 5 milioni.
Baada ya kukamilisha masharti hayo, Mshtakiwa yupo nje ya dhamana hadi Julai 16, 2024 ambapo kesi hiyo itaanza kusikilizwa kwa hoja za awali huku upande wa mlalamikaji ukitakiwa kwenda na mashahidi.
Pia soma
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
- RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda
Kwa underage yes! Otherwise no!Kosa la kubaka na kulawiti sina hakika kama lina dhamana.
Ha ha ha! Kwamba watoto picha ya mama yao itawajia kichwani! Noma sana.Nasikia Ni AL HAJ halafu anafunga mfungo wa ramadhani lkn pia ameshawahi kuonekana masjid.
Sijui mke na watoto wake wanajisikiaje. Vijana wake wa kiume wanajisemea kimoyo moyo, kumbe baba anapenda tigo? Hivi nanihii atakua na marinda kweli Kama baba alianza huu mchezo zamani?
mke wake itakuwa akikatiza mtaani watu wanachungulia pale nyuma yake halafu wanamhurumia. Picha wanayoipata ni pipe ya kutolea maji taka toka Muhimbili kuelekea baharini ikiwa wazi na pana zaidi.Ha ha ha! Kwamba watoto picha ya mama yao itawajia kichwani! Noma sana.
Wewe ndio Nawanda mwenyewe, ulikuwa unafanya nini na bint pale parking ya magari kwenye kile kimkebe chako? Na hujui huyo boda alikuwa akiishi na mwanafunzi?Fidia atakayodaiwa huyo binti ni kubwa, waliomtuma hawatweza kumlipia, na atafungwa.
Alimuonea tu bodaboda wa Mpanda kwa sababu hakuwa na mwanasheria, safari hii ameyakanyaga.
Huo ushahidi wake ni kutengeneza, utachakazwa vikali kwny cross examination ya mwanasheria mahiri.
Mahakama za bongo NAWANDA anashinda mchana kweupe, kama SABAYA yupo NAWANDA ni nani hadi afungwe?Una uhakika na unalotuhumu?
Chuki inakusumbua; kutuhumiwa sio lazima mtu awe Ametenda kosa kweli. Mahakama Itapima na kuamua kwa mujibu wa ushahidi
mahala gani ambapo nimejipa umuhimu ? Nimeelezea kilichotokea, na nikakuuliza bodaboda ana cheo gani , na nikakuambia hizi zimekuwa tabia za wadada wengi sikuhizi, na vimekuwa vinawakuta wanaume wengi tu, kujikuta wana fedheheka kw jamii zao.. kutunza utu na heshima yako sio lazima uwe na cheo.. uwe muelewa mkuuKwa kesi ya Nawanda wewe kama huna cheo huna cha kuhofia msijipe umuhimu kiivyo
hao walipishana, na kama walifanya ni michezo yao mda mrefu.. kumfir mtu kwenye gari mama crown ujue huyo mtu ni mzoefu.. kumfir mwanamke sio sawa kumuingilia kwenye kei na hasa kama hajawa firw kwenye gari kama crown na kwa nusu saa isingewezekana.. hapo kuna vingi vipo nyuma, wahusika wanajua zaidi yetuyaani kuna watu hadi leo wanaamini jamaa kabambikizwa. sawa na watu hadi leo wanaamini bashite ni msafi na anasingiziwa tu. na kuna watu wanaamini hadi leo sabaya ni msafi na alisingiziwa tu. hii ndio akili ya wabongo.
Aibu sana kwa kweli,yaani unaonekana bazazi kweli,imani na wewe hawana tens hata kukuachia mtoto hawaweziSema kuna mambo yanatia aibu sana aisee shida ni kwamba hata kama unasingiziwa waswahili hawataamini kama kweli hukufanya..
Eg;jamaa hapa kuanzia mkewe,wanae wa kike na wa kiume,dada zake wadogo zake mama zake baba yake wajomba zake WAKWE zake shemeji zake taja utakaoweza wote akilini mwao na wakimuona jamaa kwa sasa wanamuona ni mtu hatari AKA mtatua marinda aloo siyo poa.
Phd Ya kuzibua mitaroJamaa amebobea kwenye nini!? Taaluma!?
Tatizo nini?Kelele za nini? Tuiache Mahakama ifanye kazi yake sasa, una wasiwasi gani wakati kesi ndio imeanza?
🤣🤣🤣🤣Nasikia Ni AL HAJ halafu anafunga mfungo wa ramadhani lkn pia ameshawahi kuonekana masjid.
Sijui mke na watoto wake wanajisikiaje. Vijana wake wa kiume wanajisemea kimoyo moyo, kumbe baba anapenda tigo? Hivi nanihii atakua na marinda kweli Kama baba alianza huu mchezo zamani?
Milioni 10 alizotaka alipata, shida niniWewe ndio Nawanda mwenyewe, ulikuwa unafanya nini na bint pale parking ya magari kwenye kile kimkebe chako? Na hujui huyo boda alikuwa akiishi na mwanafunzi?
Yeye si alitaka milioni 10 akapewa, kama alikuwa hataki si angekataa?Wewe ndio Nawanda mwenyewe, ulikuwa unafanya nini na bint pale parking ya magari kwenye kile kimkebe chako? Na hujui huyo boda alikuwa akiishi na mwanafunzi?
Duh!Phd Ya kuzibua mitaro
cha muhimu ni kwamba alimlawiti kweli, iwe ilikuwa mara ya kwanza au ya mia moja, ila RC alimlawiti. ndio hoja.hao walipishana, na kama walifanya ni michezo yao mda mrefu.. kumfir mtu kwenye gari mama crown ujue huyo mtu ni mzoefu.. kumfir mwanamke sio sawa kumuingilia kwenye kei na hasa kama hajawa firw kwenye gari kama crown na kwa nusu saa isingewezekana.. hapo kuna vingi vipo nyuma, wahusika wanajua zaidi yetu
sijakataa na sijakubali, watajijua wenyewe.. binti alishasema walikuwa wapenzi kwenye mapenzi kuna mambo mengicha muhimu ni kwamba alimlawiti kweli, iwe ilikuwa mara ya kwanza au ya mia moja, ila RC alimlawiti. ndio hoja.