Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Amna kesi ni rahisi kutoboa kama hizi .several mistakes tu case ina haribika mtu ana chomoka ndani
 
sijakataa na sijakubali, watajijua wenyewe.. binti alishasema walikuwa wapenzi kwenye mapenzi kuna mambo mengi
hayo mambo mengi ya kwenye mapenzi hayahalalishi ulawiti. ukilawiti hata kama ni mkeo au mchumba au hata ukiokota malaya barabarani hapo ambaye anataka umlawiti, wee ukimlawiti sheria inasema ushitakiwe. na hiyo kusema kwenye mapenzi kuna mambo mengi maana yake na wewe huwa unalawiti, siku yako yaja. utakuwa nawanda tu.
 
Milioni 10 alizotaka alipata, shida nini
Yeye si alitaka milioni 10 akapewa, kama alikuwa hataki si angekataa?
Milioni kumi ilikuja baada ya msala na itatumika kama ushahidi mahakamani, cha msingi umejiabisha kwenye familia yako, mkeo na wanao wanajua kuwa wewe ni mzee wa tope. Kazi umepoteza kwa usengerema wako
 
SAWA.
 
h
hapana mie sio mlawiti siwezi kulawiti, nina akili timamu kabisa kabisa, na sitetei ulawiti. Ila naongea uhalisia wa jambo la Nawanda PhD. Hiyo jambo yake kama la kusuka
 
Milioni kumi ilikuja baada ya msala na itatumika kama ushahidi mahakamani, cha msingi umejiabisha kwenye familia yako, mkeo na wanao wanajua kuwa wewe ni mzee wa tope. Kazi umepoteza kwa usengerema wako
Mimi siyo Dr. Nawanda.
Mimi ni mtu nisiyependa watu kubambikwa kesi, hasa za ubakaji sijui ulawiti.

Elewa kuwa hao walikuwa ni wapenzi.

Kuna mambo mawili hapo.

Moja, binti alikuwa na hasira na Nawanda kwani alijua anaenda kumuacha kwa sababu ya ukicheche hivyo akawa anapanga kumkomoa.

Pili, walijitokeza watu waliokuwa wanamtafuta Nawanda siku nyingi hivyo wakapata fursa ya kumtumia binti kumuamgusha Nawanda.

Now mark my words. Nawanda atashinda kesi, jiulize swali, ukibambikwa kesi kama hiyo kapuku usiye na influence utachomoka?

Kwa nini mnashadadia ubambikwaji kesi?
 
Kelele za nini? Tuiache Mahakama ifanye kazi yake sasa, una wasiwasi gani wakati kesi ndio imeanza?

Tukiongea tunaizuia vipi mahakama kufanya kazi yake ?

Mahakama needs this freaking discussion. Na wanatusoma. Kwa nini kuna wazee wa baraza mahakamani kama hawataki kusikia public sentiment?

Una upeo wa Mama Tulia, aliyesema tukiongelea mitaani na redioni vibali vya Sukari tunaingilia mhimili, tunalishinikiza bunge. Watu wazima mnakuwaje na uelewa finyu namna hii wa civic rights of citizens and civic participation?
 
Inashangza sana hii kesi yaani ina maswali kibao.
 
Umepigilia msumari kwenye neno lenyewe
1. Wazinzi
2. Waasherati
3. Wafiraji
4. Walawiti
5. Wasengenyaji
6. Wezi
7. Wenye tamaa (mwili, mali au maendeleo ya mtu mwingine kwa husuda na nia ovu)
8. Wazembe na wavivu
9. Wabadhirifu na mafisadi
10 Waabudu sanamu (in diversity meaning)
 
Huyu baba nimewahi soma thesis yake kuhusu participation hapo IDS UDSM.
Na alishawah nitumia salamu za heri. Kumbe ndo alivyo... Khaa
Ila wa baba wa kusini kwa kupenda wanawake ni tishio. Unakuta libaba loshastaafu muda Ila liko busy na vischana vya miaka 19.
Wakati mwingine epukeni fedheha kwa kutembea na watu ambao kesho akishikwa masikio anaweza kukuharibia future. Nina Imani huyu msichana sio akili zake kupeleka hii ishi mbele hivi
 
Nawanda atashinda sio kwasababu kabambikiwa, atashinda kwasababu hawako tayari mwenzao ateketee, si unaskia RC mwanza alishaanza kuweka mambo sawa.
 
Namba 3 biblia haikutaka kumung'unya maneno
 
Huyu jamaa wamempanga tu. Hii kesi anachomoka ata waroge vp
 
Wahaya wanapenda kesi htr anaweza uza ngombe Kwa kesi ya kuku
 
Hapa karibuni tulisikiq kesi za ubakaji huko mwanza

Kuna moja ilivuma sanasanaa ya mkuu mmmoja mshapata kujua imeishiaga wapi

Tupate mwendelezo wa zinazofwata
 
Sahau! Huenda Upelelezi utakamilika baada ya uchaguzi 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…