Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Kwani na wewe ni mkuu wa mkoa au una ka cheo cheo? Maana hizi ishu watu wanazifanya sana ila kwa wenye vyeo ndo wakae nayo mbali maana ni mtego, kama huna kitulize tu hamna mwenye muda na wewe
Kuna kufedheheshana, boda boda aliepewa msala kwani alikuwa na cheo ? Mbona wanaume wengi wamekutana na hii misara ya kubambikiziwa ili mradi mtu akuvuruge
Kwani na wewe ni mkuu wa mkoa au una ka cheo cheo? Maana hizi ishu watu wanazifanya sana ila kwa wenye vyeo ndo wakae nayo mbali maana ni mtego, kama huna kitulize tu hamna mwenye muda na wewe
 
Nikisikiliza shuhuda kama hizi, naona Mbinguni naenda
hahaha! ila kufir@ sio kizuio cha kwenda mbinguni, kinachozui mtu kwenda mbinguni ni moyo wa ukaidi wa kutotaka kwenda mbinguni.. tutakuja kushangaa wafiraj na wafirwaj wapo mbinguni.. hukumu ya Mungu sio hukumu ya mwandamu.. kila mwanadamu ana nafasi ya toba na toba ni siri ya roho ya mtu
 
Namsikitikia Nawanda jinsi alivyochafuka na hii kashfa.Yote kayataka mwenyewe tu kwa kukosa vigilance.
Huyu Binti kwa ripoti ya Daktari imethibitisha kuwa kitu butu kiliingizwa kwenye sehemu yake ya haja kubwa.
Na kwamba Polisi walipokwenda kumkagua chumbani kwake Binti walichukua tishu na toilet papers ambazo Binti anadai kuzitumia alipotoka kukutana na Nawanda,wamezipeleka kwa Mkemia kuthibitisha kwenye vinasaba kama tishu hizo Zina manii za mtuhumiwa.

Kitu butu ni dhana Pana,inaweza kuwa Uume,Uume wa bandia au chochote kile kisichokuwa na ncha.Hata tango au karoti inaweza kuwa kitu butu tu.
Binti atathibitisha vipi kama mtuhumiwa alimuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu?!..baada ya tendo Binti anasema aliondoka kuelekea chuo,Polisi ameenda kushtaki kesho yake!!
Huo muda wote hapo,kwa watu waliodhamiria kukutengenezea kashfa unatosha kabisa kukumaliza.

Kwa muktadha wa hii kesi,Jamhuri wanategemea hizo tishu zilizoenda kwa Mkemia Ili kumtia hatiani mtuhumiwa.Hizo tishu anaweza kuwa alijifuta manii baada ya kufanya mapenzi kwa njia ya Kawaida.
Hicho kitu butu madaktari wanachosema kiliingia kwenye sehemu ya haja kubwa ya muhusika kinaweza kuwa chochote na sio lazima uwe Uume wa mtuhumiwa!
Huyu Binti kama alivyosema mwenyewe kuwa alikuwa na mahusiano na mtuhumiwa,Nina mashaka kuwa ametumiwa na mahasimu wa Kisiasa wa Nawanda.

Maana kiukweli Nyota yake ilikuwa inan'gaa sana.
Mahakama itende Haki,kama Yahaya Nawanda ana makosa kwenye hili aadhibiwe.Kama Hana Makosa asafishwe,na alipwe fidia kubwa.
Kama ange LAWITIWA binti yako ungeandika huu ushuzi? Jifunze kuheshimu haki zaa wengine, mlawiti haapaswi kuonewa huruma yoyote
 
Kipengele cha kumpa pesa pekee sio sufficient kwani huko nyuma kabla ya hilo tukio ikithibitika alikuwa anampa binti hela na pia alikuwa ana tabia ya kumpa mamaye binti huoni hapo hoja ya kupewa hela ili kuzima tukio itakuwa haina mashiko kwa sababu ni kawaida wapenzi kupeana pesa.
kinachosimama kwenye ushahidi hapo ni '"binti anasema aliingiliwa", hivyo vingine vyote ni kachumbari au kwa kiingereza ni corroborations za kuunga mkono tu. kisheria za sex ushahidi wa binti unaaminiwa zaidi kwasababu wanasema yeye ndiye aliexperience kitendo hivyo kile anachokisema huwezi kukipinga bila sababu ya msingi, akitoa mtiririko mzuri tu anatakiwa kuaminiwa.
 
4 hapo, kama sio lazima wakute shahawa za mtuhumiwa wanaweza kuthibitisha vp kwamba Alie lawiti ni ni yeye

6 Hapo . Kwanini tumwamini victim vp kama ametumika ua amejituma kwa visasi vyake binafsi
watathibitisha kwa ushahidi wa mdomo kile anachokisema binti. kwenye ya pili hiyo, kama wewe unasema ametumika basi onyesha ametumika na nani, mtaje na onyesha mazingira alivyotumika, ama la, ni porojo.
 
Kwa mahakama hizi za kupokea maelekezo hakuna la maana litakalofanyika, na hii inakuwa inawakatisha tamaa Police yaani wao wanawakamata watuhumiwa halafu mahakimu ndo wanapokea pesa na kujaza mitumbo yao, lakini pia hata kipindi hiki cha utawala wa mwanamke, wanawke bado waendelee kunyanyasika?
 
Kuna kufedheheshana, boda boda aliepewa msala kwani alikuwa na cheo ? Mbona wanaume wengi wamekutana na hii misara ya kubambikiziwa ili mradi mtu akuvuruge
Kwa kesi ya Nawanda wewe kama huna cheo huna cha kuhofia msijipe umuhimu kiivyo
 
Kuna kufedheheshana, boda boda aliepewa msala kwani alikuwa na cheo ? Mbona wanaume wengi wamekutana na hii misara ya kubambikiziwa ili mradi mtu akuvuruge
yaani kuna watu hadi leo wanaamini jamaa kabambikizwa. sawa na watu hadi leo wanaamini bashite ni msafi na anasingiziwa tu. na kuna watu wanaamini hadi leo sabaya ni msafi na alisingiziwa tu. hii ndio akili ya wabongo.
 
Kama ange LAWITIWA binti yako ungeandika huu ushuzi? Jifunze kuheshimu haki zaa wengine, mlawiti haapaswi kuonewa huruma yoyote
Huna HAKI ya kunipangia jinsi ninavyojisikia juu ya wengine.Ninataka Mahakama itende Haki.Sitaki mtu aonewe au afungwe jela kwa sababu ya title yake au Jinsia yake.
Hata kama angekuwa Binti yangu,sipo tayari mtu afungwe jela Miaka zaidi ya 30 kwa ushahidi wa mashaka.
 
yaani kuna watu hadi leo wanaamini jamaa kabambikizwa. sawa na watu hadi leo wanaamini bashite ni msafi na anasingiziwa tu. na kuna watu wanaamini hadi leo sabaya ni msafi na alisingiziwa tu. hii ndio akili ya wabongo.
NAWANDA kaingia 18 za WAZIRI Captain Mstaafu ASIYE na WIZARA MAALUMU.

If you want to kill cat, you give bad name, PAKA ni mwizi, Kisha mipini ya shoka inamuhusu mpaka anatoka ROHO ZOTE SABA, kama tunavyoamini.

Pole sana Rafiki yangu NAWANDA, huyo ndo
MKUUU .CHIKKA KEP TAIN. MSIII TOUGH😅
 
Sio lazima issue ya BASHITE IWE SAWA NA YA NAWANDA, kila issue ni an independent, Nawanda kaingia kumi na nane za CAP TEIN MSII TOUGH Waziri aso Wizara maalumu AKA Kamati ya ufundi ya SERIKALI .
 
Huna HAKI ya kunipangia jinsi ninavyojisikia juu ya wengine.Ninataka Mahakama itende Haki.Sitaki mtu aonewe au afungwe jela kwa sababu ya title yake au Jinsia yake.
Hata kama angekuwa Binti yangu,sipo tayari mtu afungwe jela Miaka zaidi ya 30 kwa ushahidi wa mashaka.
Kelele za nini? Tuiache Mahakama ifanye kazi yake sasa, una wasiwasi gani wakati kesi ndio imeanza?
 
NAWANDA kaingia 18 za WAZIRI Captain Mstaafu ASIYE na WIZARA MAALUMU.

If you want to kill cat, you give bad name, PAKA ni mwizi, Kisha mipini ya shoka inamuhusu mpaka anatoka ROHO ZOTE SABA, kama tunavyoamini.

Pole sana Rafiki yangu NAWANDA, huyo ndo
MKUUU .CHIKKA KEP TAIN. MSIII TOUGH😅
Mkuchika anahusikaje kwenye ULAWITI wa Nawanda? Usitupange ndugu
 
Back
Top Bottom