Nikumbuke nini jomba na watu wana mudu usafiri wao wa kila siku mjini, tatizo mnataka mjilinganishe na sisi ndipo mnapokosea..yani mnadhania tupo level moja kumbe ukwel hamuujui...
Ni sawa na sisi wakenya tulazimishe gharama zetu za maisha zilingane na za south africa, hapo tutakua kichekesho duniani..
Ukipitwa we kubali tu, hao unemployment unaowataja sai wanafanya kazi mitaani kw wiki wanakula mpunga wao mzuri hku wengine wanajihusisha na biashara ndogo ndogo mtaani..
Au umesahau km kenya kuna urahisi wa kufanya biashara
Sent from my SM-J701F using
JamiiForums mobile app