DMU za zamani Kenya kutoza nauli mara 4 ya Modern BRT ya Tanzania

Natumai unamaanisha shiling yenu bure ya kitanzania ambayo hubebwa na rukwama ili itoshe kiwango kinachotakikana na wala sio ile yenye thamani kubwa ya Kenya.

Kenyans on Nairobi Commuter Rail services
40bob standard fare charge.
Confessions ❤🇰🇪
FB_IMG_1605961483175.jpg
 
Vipi watu wanaishi katika mabanda ya Nguruwe kule Kibera kama mzungungo wa pesa ni mkubwa?
Watu wa kibera wengi wao wanafanya kazi nje kidogo na pale kibera..au unafikiria mtu anayeishi kibera hana kazi, nyie vipi jamani mshahara km wa elfu kumi mpka kumi na tano nairobi unaanzaje kwenda ukaishi kw flats..km ni town zingine sawa kuna rent za mpka elfu mbili, tatu kw mwezi lkn sio nairobi baba

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
I guess you don't know the reason why Nairobi is the most expensive city in East Africa, if you want cheap things go to Dar es Salaam and Mogadishu which are both in less-developed countries
Msee anadhani ni kila anayeishi kibera hana kazi kumbe hajui wengine wanakwepa ghrama za nairobi kw sababu mji wenyewe ni expensive

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Kifupi vitu vinavyo fanya nchi iwe bora ni pamoja na kuwa na cost ndogo za maisha ....unasafari ndefu sana ...endelea kukaa huko Msa utaelewa miaka 10 ijayo
Bado unazidi kuongea pumba tu, eti nchi iwe bora cost of living lazima iwe ndogo..

Mbna basi magu alipoanza kujenga miundombinu ameamua mpka wamachinga wawe na vitambulisho si angeliwaacha basi waendelee kuteleza kijinga jinga..

Kisha na bado

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Hii reasoning capacity yako iko chini sana. Hahaha hadi unafanya nicheke. Sasa kama baadhi ya watu wanaishi kwenye slums hio inamaanisha kuwa mzunguko wa pesa hauwezi kuwa mkubwa au gharama ya maisha haiwezi kuwa ghali? Mbona hakuna logic kwa argument yako?
Mzunguko wa pesa unapokua mkubwa maana yake wananchi wengi wanapata pesa nzuri hivyo kumudu kujenga au kupanga katika nyumba nzuri, wananchi wakiamua kuishi Kibera maana yake hawana uwezo wa kumudu kujenga nyumba bora au kulipia pango katika nyumba nzuri. Wewe ukisikia kwamba sehemu kuna mzunguko mkubwa wa pesa unaelewa nini maana yake?
 
Msee anadhani ni kila anayeishi kibera hana kazi kumbe hajui wengine wanakwepa ghrama za nairobi kw sababu mji wenyewe ni expensive

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Huu ni upumbavu na ujinga uliokujaa kichwani mwako, haiwezikani mtu mwenye kipato kizuri kuishi Kibera, hivi wewe huwa unatumia akili kweli?. Lengo la binadamu yeyote kufanya kazi ni ili aweze kuishi maisha bora, sehemu ya kuishi iwe bora na yenye salama, chakula bora na cha kutosha, maji safi na salama, Afya, na Elimu bora.

Ninakuhakikishia hakuna hata mkazi mmoja wa Kibera na slums zingine anayeishi huko kwa kupenda au kuamua kuishi huko, kila mmoja anajaribu kuboresha kipato chake ili aweze kumudu kuishi nje ya slums zenu hizo. Maisha ya Kibera ni zaidi ya maisha ya magereza huku Tanzania, eti watu wanaamua kuishi Kibera, punguza ujinga huo
 
Wapi nimetaja kipato kizuri hapo, sasa wewe km unalipwa elfu kumi na tano na n nairobi kisha una familia utafanyaje..

Imagine mtu km huyo asiende kawangware unataka akaishi donholm kisa nn..
Najua ksh15k kw tanzania watu wa kawaida ni mshahara mzuri

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mzunguko wa pesa unapokua mkubwa maana yake wananchi wengi wanapata pesa nzuri hivyo kumudu kujenga au kupanga katika nyumba nzuri, wananchi wakiamua kuishi Kibera maana yake hawana uwezo wa kumudu kujenga nyumba bora au kulipia pango katika nyumba nzuri. Wewe ukisikia kwamba sehemu kuna mzunguko mkubwa wa pesa unaelewa nini maana yake?
Ungelisema hivi, mwananchi anayeishi kibera maisha ya nairobi hawezi kuyamudu, lkn kipato chake ukimueka kimikoani anajenga hata nyumba ndogo ya kuishi..

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya

Sasa hii ksh100 si ndio bei ya kawaida za matatu for most routes, pengine walitaka iwe cheap kama ya old commuter train., 100 ndio bei ya Nairobi., kumbe nchi ya walala hoi transport ni cheap! Ndio maana mukija Kenya kama Mombasa mnakomea vitongoji tu, ama mnakwama mwembe tayari, Nairobi mmejaa kibera na mukuru kayaba! Wengi wenu mkija huwa mnakaa nikama mtu ambaye amenyeshewa, sura ya mshangao na kuhurumisha, unaishi kwa zile lodging za kimalaya malaya! Maisha cheap na duni ya Dar imewapa umasikini zaidi mkitoka nje wengi wenu hamunaga uwezo wa kujikimu!😂😂😂😂
 
Nime elewa kwa nini mkenya akiingia Tz ama Uganda anakula bata kishenzi, wenyeji wanashangaa! Maisha yao duni mno! So cheap yet wengi wao bado ni walala hoi!😂😂😂
 
Wapi nimetaja kipato kizuri hapo, sasa wewe km unalipwa elfu kumi na tano na n nairobi kisha una familia utafanyaje..

Imagine mtu km huyo asiende kawangware unataka akaishi donholm kisa nn..
Najua ksh15k kw tanzania watu wa kawaida ni mshahara mzuri

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Sasa uliposema kwamba Nairobi kuna mzunguko mkubwa wa pesa kwahiyo hiyo nauli ya train ya Ksh 100 haibababishi wakati kuna wafanyakazi wanaolipwa Kay 15k ulikua na maana gani?, kama mtu analipya Ksh 15k na anatumia 3000 kama nauli kwa mwezi ni 20% ya salary yake, bado unasema hiyo nauli haiwasumbui wanaweza kulipa, huko ni kujaribu kutetea serikali ya Jubilee badala ya kutetea wananchi wa kawaida
 
Nime elewa kwa nini mkenya akiingia Tz ama Uganda anakula bata kishenzi, wenyeji wanashangaa! Maisha yao duni mno! So cheap yet wengi wao bado ni walala hoi!😂😂😂
Wakenya wanashangaa hakuna watu wanaolala na kuishi barabarani, wakenya wakija Tanzania hawataki kurudi Kenya kwasababu maisha huku ni cheap kila mtu analala na kuishi vizuri, Hakuna slums dwellers wala njaa
 
Back
Top Bottom