Mko na DMUs[emoji23][emoji23]Hell no! DMUs for what? N second hand for what? we went for brand new EMUs full paid!
Km haitujali mbona mishahara inalipa vizuri ndio manake hata mafundi ujenzi wanalipwa vizuri kuliko tz kw sababu anayemlipa tayari kalipwa vizuriSerikali yoyote yenye kujali wananchi wake na uchumi wowote wenye kuimarika lazima viweze kupunguza gharama za maisha kwa wananchi wake.
Wakenya kwakweli serikali yenu haina msaada wowote kwa wananchi wake, haijali kabisa maisha yao zaidi ya kuendelea kuwatoza kodi kubwa kila mwaka. Usafiri wa train na meli ndio "the cheapest". Iweje train iwe ghali kuliko buses?
Jibu zuri wapi na wakati kakasirika[emoji23][emoji23][emoji23]Jibu zuri sana hii, hawa jamaa mwisho watauliza "Kwanini ninyi hamnunui vyuma chakavu kama Susi? ", wao wanataka sisi tuige upuuzi wao.
No wonder our tax revenue is three times the number Tanzania collect.Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
Unaumwa wewe!Km haitujali mbona mishahara inalipa vizuri ndio manake hata mafundi ujenzi wanalipwa vizuri kuliko tz kw sababu anayemlipa tayari kalipwa vizuri
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Bado vpn . Kama kule Twitter lazima uwe na VPN hadi Magufuli anaingia kwa vpn.Mlifunguliwa internet ama bado munatumia VPN
Katika mambo yanayozingatiwa katika kuamua ubora na uzuri wa nchi ni pamoja na gharama za usafiri, Chakula, rent, utilities na gharama za matibabu. Kenya ni miongoni mwa failed states kutokana na ukweli kwamba gharama za maisha haziendani na kipato cha wananchi, kumbuka unemployment 46%Hzo DMU sio zimekuumiza sana[emoji23][emoji23][emoji23]
BRT na DMUs wapi na wapi we bwege..
Alafu 35 mbona hela ndogo sana, hyo hata kw matatu labda uonewe huruma..nchi maskini bana
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Nikumbuke nini jomba na watu wana mudu usafiri wao wa kila siku mjini, tatizo mnataka mjilinganishe na sisi ndipo mnapokosea..yani mnadhania tupo level moja kumbe ukwel hamuujui...Katika mambo yanayozingatiwa katika kuamua ubora na uzuri wa nchi ni pamoja na gharama za usafiri, Chakula, rent, utilities na gharama za matibabu. Kenya ni miongoni mwa failed states kutokana na ukweli kwamba gharama za maisha haziendani na kipato cha wananchi, kumbuka unemployment 46%
Naona hyo sindano imepenya vizuri sana,Unaumwa wewe!
Unaongea pumba mpka sio poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaiyo unamanish nini kwa huu upupu ulio andika?Nikumbuke nini jomba na watu wana mudu usafiri wao wa kila siku mjini, tatizo mnataka mjilinganishe na sisi ndipo mnapokosea..yani mnadhania tupo level moja kumbe ukwel hamuujui...
Ni sawa na sisi wakenya tulazimishe gharama zetu za maisha zilingane na za south africa, hapo tutakua kichekesho duniani..
Ukipitwa we kubali tu, hao unemployment unaowataja sai wanafanya kazi mitaani kw wiki wanakula mpunga wao mzuri hku wengine wanajihusisha na biashara ndogo ndogo mtaani..
Au umesahau km kenya kuna urahisi wa kufanya biashara
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
I guess you don't know the reason why Nairobi is the most expensive city in East Africa, if you want cheap things go to Dar es Salaam and Mogadishu which are both in less-developed countriesKatika mambo yanayozingatiwa katika kuamua ubora na uzuri wa nchi ni pamoja na gharama za usafiri, Chakula, rent, utilities na gharama za matibabu. Kenya ni miongoni mwa failed states kutokana na ukweli kwamba gharama za maisha haziendani na kipato cha wananchi, kumbuka unemployment 46%
Yani imekuingia hadi ukashindwa uanzeje kunengua[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Unaongea pumba mpka sio poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaiyo unamanish nini kwa huu upupu ulio andika?
Vipi watu wanaishi katika mabanda ya Nguruwe kule Kibera kama mzungungo wa pesa ni mkubwa?Hatuwezi shutushwa nchi maskini ikifanya hvo, watu wengi hawajiwezi..
Tz dar ukiweka fare 100 watu wataanza kutembea, manake km mzunguko wa pesa tz ni kidogo sana kuliko kenya
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Sasa wewe unabishana na dunia walioiweka Kenya katika kundi la failed states?I guess you don't know the reason why Nairobi is the most expensive city in East Africa, if you want cheap things go to Dar es Salaam and Mogadishu which are both in less-developed countries
Kifupi vitu vinavyo fanya nchi iwe bora ni pamoja na kuwa na cost ndogo za maisha ....unasafari ndefu sana ...endelea kukaa huko Msa utaelewa miaka 10 ijayoYani imekuingia hadi ukashindwa uanzeje kunengua[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoma ni ile ile tu jomba
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Unalinganisha mgonjwa na marehemu?Kenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
Hii reasoning capacity yako iko chini sana. Hahaha hadi unafanya nicheke. Sasa kama baadhi ya watu wanaishi kwenye slums hio inamaanisha kuwa mzunguko wa pesa hauwezi kuwa mkubwa au gharama ya maisha haiwezi kuwa ghali? Mbona hakuna logic kwa argument yako?Vipi watu wanaishi katika mabanda ya Nguruwe kule Kibera kama mzungungo wa pesa ni mkubwa?
Anataka Kenya tufanane na TZ. Sasa huku kila kitu ni bei ghali ukilinganisha na TZ. Hata Mkate tunanunua bei ghali kuwashinda. Mafuta ya gari pia tunanunua bei ghali kuwashinda sasa itakuwaje kuwa kwenye nauli tutatoshana? Hio haiwezekani. Nauli hapa Kenya ni bei ghali kushinda Tanzania. Karibu kila kitu ni bei ghali Kenya kushinda Tanzania. Lakini vile vile mishahara pia iko juu Kenya kushinda TZ. Madaktari, Walimu nk wanalipwa vizuri hapa kushinda TZ. Lakini huyo mleta mada hataki kufikiria. Anataka kulazimisha Kenya iwe sawa na TZ.Unalinganisha mgonjwa na marehemu?
Kenya pato lao ni kubwa kulinganisha na Tanzania, wao ni wakweli na hawaongopi uchumi!
Kama tupo uchumi wa Kati kwanini uone hiyo Tshs 2000 kubwa?
Kwa kifupi hapa aliyeleta mada ni "mtoto wa mjumbe wa CCM aliyeishia "form four " chuo cha Kata huko uukumani, infact ni mshamba kuliko hata watu wa Kisii na SamburuAnataka Kenya tufanane na TZ. Sasa huku kila kitu ni bei ghali ukilinganisha na TZ. Hata Mkate tunanunua bei ghali kuwashinda. Mafuta ya gari pia tunanunua bei ghali kuwashinda sasa itakuwaje kuwa kwenye nauli tutatoshana? Hio haiwezekani. Nauli hapa Kenya ni bei ghali kushinda Tanzania. Karibu kila kitu ni bei ghali Kenya kushinda Tanzania. Lakini vile vile mishahara pia iko juu Kenya kushinda TZ. Madaktari, Walimu nk wanalipwa vizuri hapa kushinda TZ. Lakini huyo mleta mada hataki kufikiria. Anataka kulazimisha Kenya iwe sawa na TZ.