KIBAKI GENIOUS
Member
- Jan 29, 2020
- 36
- 35
Watu wa kibera wengi wao wanafanya kazi nje kidogo na pale kibera..au unafikiria mtu anayeishi kibera hana kazi, nyie vipi jamani mshahara km wa elfu kumi mpka kumi na tano nairobi unaanzaje kwenda ukaishi kw flats..km ni town zingine sawa kuna rent za mpka elfu mbili, tatu kw mwezi lkn sio nairobi babaVipi watu wanaishi katika mabanda ya Nguruwe kule Kibera kama mzungungo wa pesa ni mkubwa?
Kwhyo unapinga km nairobi ni expensive kuishi..Sasa wewe unabishana na dunia walioiweka Kenya katika kundi la failed states?
Msee anadhani ni kila anayeishi kibera hana kazi kumbe hajui wengine wanakwepa ghrama za nairobi kw sababu mji wenyewe ni expensiveI guess you don't know the reason why Nairobi is the most expensive city in East Africa, if you want cheap things go to Dar es Salaam and Mogadishu which are both in less-developed countries
Bado unazidi kuongea pumba tu, eti nchi iwe bora cost of living lazima iwe ndogo..Kifupi vitu vinavyo fanya nchi iwe bora ni pamoja na kuwa na cost ndogo za maisha ....unasafari ndefu sana ...endelea kukaa huko Msa utaelewa miaka 10 ijayo
Mzunguko wa pesa unapokua mkubwa maana yake wananchi wengi wanapata pesa nzuri hivyo kumudu kujenga au kupanga katika nyumba nzuri, wananchi wakiamua kuishi Kibera maana yake hawana uwezo wa kumudu kujenga nyumba bora au kulipia pango katika nyumba nzuri. Wewe ukisikia kwamba sehemu kuna mzunguko mkubwa wa pesa unaelewa nini maana yake?Hii reasoning capacity yako iko chini sana. Hahaha hadi unafanya nicheke. Sasa kama baadhi ya watu wanaishi kwenye slums hio inamaanisha kuwa mzunguko wa pesa hauwezi kuwa mkubwa au gharama ya maisha haiwezi kuwa ghali? Mbona hakuna logic kwa argument yako?
Huu ni upumbavu na ujinga uliokujaa kichwani mwako, haiwezikani mtu mwenye kipato kizuri kuishi Kibera, hivi wewe huwa unatumia akili kweli?. Lengo la binadamu yeyote kufanya kazi ni ili aweze kuishi maisha bora, sehemu ya kuishi iwe bora na yenye salama, chakula bora na cha kutosha, maji safi na salama, Afya, na Elimu bora.Msee anadhani ni kila anayeishi kibera hana kazi kumbe hajui wengine wanakwepa ghrama za nairobi kw sababu mji wenyewe ni expensive
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Huu ni upumbavu na ujinga uliokujaa kichwani mwako, haiwezikani mtu mwenye kipato kizuri kuishi Kibera, hivi wewe huwa unatumia akili kweli?. Lengo la binadamu yeyote kufanya kazi ni ili aweze kuishi maisha bora, sehemu ya kuishi iwe bora na yenye salama, chakula bora na cha kutosha, maji safi na salama, Afya, na Elimu bora.Msee anadhani ni kila anayeishi kibera hana kazi kumbe hajui wengine wanakwepa ghrama za nairobi kw sababu mji wenyewe ni expensive
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Wapi nimetaja kipato kizuri hapo, sasa wewe km unalipwa elfu kumi na tano na n nairobi kisha una familia utafanyaje..Huu ni upumbavu na ujinga uliokujaa kichwani mwako, haiwezikani mtu mwenye kipato kizuri kuishi Kibera, hivi wewe huwa unatumia akili kweli?. Lengo la binadamu yeyote kufanya kazi ni ili aweze kuishi maisha bora, sehemu ya kuishi iwe bora na yenye salama, chakula bora na cha kutosha, maji safi na salama, Afya, na Elimu bora.
Ninakuhakikishia hakuna hata mkazi mmoja wa Kibera na slums zingine anayeishi huko kwa kupenda au kuamua kuishi huko, kila mmoja anajaribu kuboresha kipato chake ili aweze kumudu kuishi nje ya slums zenu hizo. Maisha ya Kibera ni zaidi ya maisha ya magereza huku Tanzania, eti watu wanaamua kuishi Kibera, punguza ujinga huo
Ungelisema hivi, mwananchi anayeishi kibera maisha ya nairobi hawezi kuyamudu, lkn kipato chake ukimueka kimikoani anajenga hata nyumba ndogo ya kuishi..Mzunguko wa pesa unapokua mkubwa maana yake wananchi wengi wanapata pesa nzuri hivyo kumudu kujenga au kupanga katika nyumba nzuri, wananchi wakiamua kuishi Kibera maana yake hawana uwezo wa kumudu kujenga nyumba bora au kulipia pango katika nyumba nzuri. Wewe ukisikia kwamba sehemu kuna mzunguko mkubwa wa pesa unaelewa nini maana yake?
And that is the reason why most tanzanians who come to Kenya always resorts in slumsMsee anadhani ni kila anayeishi kibera hana kazi kumbe hajui wengine wanakwepa ghrama za nairobi kw sababu mji wenyewe ni expensive
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Nlikua najaribu kumeambia geza ulole kule juu ya kwamba bado hakuna mtu aliyethibitisha km amelipa hyo mia..View attachment 1631636
Mkuu joto la jiwe basi usilie, njoo Nairobi Pia wewe upate raha ya DMU... Mbona bei nafuu tu? Ebu ona...View attachment 1631636
Km wale wa pale gikosh na kongowea mobasaAnd that is the reason why most tanzanians who come to Kenya always resorts in slums
Tena bangla ni mbali sana na mjini walai, sijui hata ile ardhi waliipataje pataje wale jamaa..Kenya Mombasa most of them stay in Bangladesh
Sasa hii ksh100 si ndio bei ya kawaida za matatu for most routes, pengine walitaka iwe cheap kama ya old commuter train., 100 ndio bei ya Nairobi., kumbe nchi ya walala hoi transport ni cheap! Ndio maana mukija Kenya kama Mombasa mnakomea vitongoji tu, ama mnakwama mwembe tayari, Nairobi mmejaa kibera na mukuru kayaba! Wengi wenu mkija huwa mnakaa nikama mtu ambaye amenyeshewa, sura ya mshangao na kuhurumisha, unaishi kwa zile lodging za kimalaya malaya! Maisha cheap na duni ya Dar imewapa umasikini zaidi mkitoka nje wengi wenu hamunaga uwezo wa kujikimu!ππππKenya ni nchi ya vituko na vitimbwi, mtu wa hali ya chini hana wa kumtetea kabisa, nauli ya Ksh 100 kwa train za zamani wakati BRT inatoza chini ya Ksh 35 ni aibu na fedheha kwa Kenya
Sasa uliposema kwamba Nairobi kuna mzunguko mkubwa wa pesa kwahiyo hiyo nauli ya train ya Ksh 100 haibababishi wakati kuna wafanyakazi wanaolipwa Kay 15k ulikua na maana gani?, kama mtu analipya Ksh 15k na anatumia 3000 kama nauli kwa mwezi ni 20% ya salary yake, bado unasema hiyo nauli haiwasumbui wanaweza kulipa, huko ni kujaribu kutetea serikali ya Jubilee badala ya kutetea wananchi wa kawaidaWapi nimetaja kipato kizuri hapo, sasa wewe km unalipwa elfu kumi na tano na n nairobi kisha una familia utafanyaje..
Imagine mtu km huyo asiende kawangware unataka akaishi donholm kisa nn..
Najua ksh15k kw tanzania watu wa kawaida ni mshahara mzuri
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Wakenya wanashangaa hakuna watu wanaolala na kuishi barabarani, wakenya wakija Tanzania hawataki kurudi Kenya kwasababu maisha huku ni cheap kila mtu analala na kuishi vizuri, Hakuna slums dwellers wala njaaNime elewa kwa nini mkenya akiingia Tz ama Uganda anakula bata kishenzi, wenyeji wanashangaa! Maisha yao duni mno! So cheap yet wengi wao bado ni walala hoi!πππ