Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
poleni na nyie....
Hata nyie wanawake mtakoma pia.
Hata mimi sijapenda. Alafu eti anamwambia "i'm sorry but its your mother's fault.". Huyo mtoto atawezaje kuendelea kujiona 'part of the family' kwa kauli kama hizo?! Vitu vingine sio lazima mtu useme in public. Toa taarifa kama unaona ni LAZIMA kisha kaa kimya.
jamii nzima inajua kuwa si baba yake.....itamwathiri sana.....yeye angetafuta namna tu ya kumuondoa kwenye familia lakini si hvyo alivyofanya.....
Umeona eeeh kupima DNA ni kumdhalilisha mwanamke
Dada zetu bhana yaani hamuoni ujjinga wa huyo dada ila kibao kinageuzwa kwa mwanaume via mgongo wa mtoto!!!!!
Akamatafutie babake halali mtoto awe na "father" na "parter". . . . . .!!
Wanawake bwana viumbe wa ajabu sana binafsi sijaona kosa la huyo mwanaume yupo sahihi kabisa uamuz aliochukua yaani unicheat,nilee mimba sio ya kwangu then nigharamike Mtoto kumlea nigundue eti nikae kimya ningekuwa Mimi moto wake usingezimwa kirahisi jamaa kasamehe kindezi sana
mm naona kafanya jambo jema na angemfurumusha hata huyo mamayake mamaae
Umeona eeeh kupima DNA ni kumdhalilisha mwanamke
Hahahaha msinipopoe mawe jamanKakudhalilisha kivipi?Hivi ni haki mtu kulea na kuhudumia mtoto ambaye si wake?acheni kutetea ujinga aende kwa Baba yake akalelewe.Mnataka tuwaamini kila kitu wakati hamwaminiki.Safi sana Bobby Wine umefanya uamuzi mzuri sana huo ndo uanaume sio unakaa na mitoto ambayo sio yako.
kafanya lililo jema
tatizo lenu akina mama whenever things turn to your faults, you always find a way to blame the other party
He did it the right way, telling the truth after living a lie for years
Wanawake bwana viumbe wa ajabu sana binafsi sijaona kosa la huyo mwanaume yupo sahihi kabisa uamuz aliochukua yaani unicheat,nilee mimba sio ya kwangu then nigharamike Mtoto kumlea nigundue eti nikae kimya ningekuwa Mimi moto wake usingezimwa kirahisi jamaa kasamehe kindezi sana
ishu si kukaa kimya....ishu ni yule mtoto kuikubali ile hali kirahisi.....unadhani haitamwathiri kisaikolojia....? alitakiwa akae nae amweleze hali halisi .....na uku akimpa maneno ya matumaini....but alichofanya ni kama kumfukuza na kuwa na hasira nae......
acha roho mbaya kwa mtoto....sasa yeye ana kosa gani.....?mama yake anaweza kuadhibiwa lakini siyo mtoto......hivi uchungu upo kwa mtoto wa damu yako tu.......? alitakiwa kumwandaa kisaikolojia huyo mtoto ili ajitambue kuwa siyo baba yake na siyo hvyo alivyofanya.....
Hakuna ki2 kinauma kwa mwanaume kma ujue umebambikiziwa mtoto,istoshe mtoto wa hvyo huwa n sura tofauti sana n wenzake hata ukiangalia picha utamwona yuko tofauti n watoto wa bobiwine
Inauma kwa kweli ni bora MTU akupige risasi ya kichwa kuliko kukata na kiwembe kwenye mkono na kuweka chumvi na pilipili