Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushakoma
Mi kwakeli siwezi kukuelewa kabisaa, yaani nazaa mtoto na wewe naona tabia zake ni tofauti kabisa na za kwetu, pombe hatumii, sio mwizi mwizi halafu unakuta darasani yeye ni wa kwanza wakati kwenye kizazi chetu sisi ni watu wa mwisho mwisho tu, mh hapo ni lazima DNA abanjuke kupata uhakika.
Jaribu kucheki na wadau hasa pale ocean road hospital
Dah nampa pole bado Mimi na Mimi natakiw nikafanye hiyo DNA ya mtoto wangu ili apate passport huyo alovumbua hiyo DNA tupo mji mmoja jamaa yupo sahihi simlaumu Mimi ndio naenda mtoto akiwa so wangu siwezi kumkataa ingawa mapenzi yatapungua Mimi natakiwa kulipa £ 600 pounds za vifaa kutuma huko na karibu zitanitoka kama tzshs million mbili sipendi hilo LA DNA ila imenibidi dini yangu haitaki ndio sina jinsi
Toto kama sio zao la mkojo wako utalijua tu...kwanza linakuwa jeuri mpaka mwenyewe unashangaa....alafu ukilituma linakuwa bishi balaa...
Na ukilichunguza lazima utalikuta lipo tofauti na ukoo..unaweza kukuta lina tabia ya wizi wakati kwenu hakuna tabia ya wizi...ujue hap umeliwa na huna haja ya DNA...
Umeona eeeh kupima DNA ni kumdhalilisha mwanamke