DNA test aliyoifanya mwanamuziki Bobi Wine yaonyesha kuwa mtoto aliyemlea kwa miaka saba sio wake

Km unalea mtoto wa mwenzio ujue kuna mwenzio analea mtoto wako!
 
Mi kwakeli siwezi kukuelewa kabisaa, yaani nazaa mtoto na wewe naona tabia zake ni tofauti kabisa na za kwetu, pombe hatumii, sio mwizi mwizi halafu unakuta darasani yeye ni wa kwanza wakati kwenye kizazi chetu sisi ni watu wa mwisho mwisho tu, mh hapo ni lazima DNA abanjuke kupata uhakika.
 
Thanks kwetu copy zote mdingi mtupu hiyo haiihitaji DNA wala nini, but kiukweli kuna watu wengi wanalea watoto si wao duh kitanda hakizai kharamu kuna mshkaj wangu kwao wote black yeye mwarabu koko! haya mambo wakati mwingine genetics waqt mwingine kubambikiana basi ni vurugu bin fujo mungu atunusuru.
 
sometimes inauma kulea kiumbe ambacho unaaminishwa ni chako...wanawake huwa wanajua kuwa mimba ni ya flani but for her interest anaona bora ampe m/me mwingine kwa sababu zake azijuaye yy mwenyewe bila kujua athari za baadae.
 

Dah! Hii kiboko, Nimecheka sana
 
Na yeye akapime DNA ya babaake ukute si mzazi wake sijui ataenda wapi?
 
Dah nampa pole bado Mimi na Mimi natakiw nikafanye hiyo DNA ya mtoto wangu ili apate passport huyo alovumbua hiyo DNA tupo mji mmoja jamaa yupo sahihi simlaumu Mimi ndio naenda mtoto akiwa so wangu siwezi kumkataa ingawa mapenzi yatapungua Mimi natakiwa kulipa £ 600 pounds za vifaa kutuma huko na karibu zitanitoka kama tzshs million mbili sipendi hilo LA DNA ila imenibidi dini yangu haitaki ndio sina jinsi
 


inabidi ukubali mtoto apate makaratasi
 
Toto kama sio zao la mkojo wako utalijua tu...kwanza linakuwa jeuri mpaka mwenyewe unashangaa....alafu ukilituma linakuwa bishi balaa...
Na ukilichunguza lazima utalikuta lipo tofauti na ukoo..unaweza kukuta lina tabia ya wizi wakati kwenu hakuna tabia ya wizi...ujue hap umeliwa na huna haja ya DNA...
 

Wa2 wanaongea tu hawajui uchungu w kubambikiwa n kulea damu c yko,mtoto akianza kukua kuna vi2 utaviona 2 clazma dna.unaweza cheki kucha,vidole,pua,tabia etc wadada hpa wanamlaumu bobi wakti wao ndio kisababishi,hilo kosa halina msamaha 100% kunifanya ----- miaka n gharama kibao.halafu unakuja n stori am sorry cjui nlikua cna mwanaume zaidi yko huyu mtoto wko baba flani
 
Mamaeeeeee” kama ndo mimi nikigunduaaaa nafukuza mke na mtoto faster sitaki niwaone”
Kumbe jamaaa daily anafanywa yeye mwanasesere tu`
Kudadadeki unichezee hivyoo” kamwe sitoruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…