DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

Hakuna matata.
Matata yapo sana!!,kutumia mbegu ya mwanaume mwingine bila ridhaa yake ili kulinda ndoa yako hilo ni kosa kisheria! Na ni swala la muda tu hilo bomb [emoji378]lako litakulipukia!!
 
Matata yapo sana!!,kutumia mbegu ya mwanaume mwingine bila ridhaa yake ili kulinda ndoa yako hilo ni kosa kisheria! Na ni swala la muda tu hilo bomb [emoji378]lako litakulipukia!!
Tulia wewe, maisha sio magumu hivyo.
 
🚨 Imebainika kuwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria 🇳🇬 Kayode Olarenwaju watoto watatu ambao ilisemekana ni wake yeye na mke wake,kipimo Cha DNA kimethibitisha kuwa sio watoto wake wote hao wala hawaendani kwa damu.

Kwa mujibu wa taarifa za mfanano ni kuwa watoto hao wanaelezwa kuwa wa Pastor mmoja mkubwa nchini Nigeria ambae jina lake hakijawekwa wazi. Olarenwaju alibambikwa watoto hao. 💔✅
Hatari hii
 
Hii ndio inaitwa vita Sasa ..achana na ile ya hamas na mayahudi au Russia na NATO ..nasemaje hii ndio imerudi vita, ukichomoka hapo basi hufi wewe mbinguni unaenda kama Eliya..
 
Back
Top Bottom