Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

Afya njema (hasa ya uzazi), pesa na familia. Hivyo ndo vipimo vikuu vya mafanikio ya mwanaume. Kama ni hela peke yake hata mashoga wanazo.
 
Afya njema (hasa ya uzazi), pesa na familia. Hivyo ndo vipimo vikuu vya mafanikio ya mwanaume. Kama ni hela peke yake hata mashoga wanazo.
Familia ni neno ambalo lipo subjective

Hata kuwa single nako pia ni aina ya familia.

Naweza nikawa na pesa zangu nyingi nikakusanya wazazi wangu na ndugu zangu nikawa naishi nao nyumba moja kwa furaha. Hiyo pia ni familia.

Familia sio lazima uwe na mke na watoto wakuishi nyumba moja.
 
Huo ni uchafu sio sifa, imenifanya nikudharau, Uzi wako nilikua nimeupa mda lakini kwa comment yako hiyo sioni kama una akili za kushauri jamii ya watu waelewa, unajisifu kwa kuzinii kweli bogus.
 
Are you married?
 
Kiingereza kingi kumbe mjinga saana una akili finyu, sijasoma ulichoandika huko juu ila hiki ulichoandika mwishon kwenye utambulisho wa jina lako ndo kimenifanya nikuone hamnazo.
 
Ndugu wewe ni hanithi?
 
Ndoa haikuwa na mlengo mbaya Kwani inatengeneza familia bora na kuleta mwendelezo wa vizazi.

Bahati mbaya sana waoaji na waolewaji kwa sasa wameifanya kuonekana ngumu na isiyofaa.
Ukimpata unayeona anafaa wewe kumuoa/kukuoa FANYA HIVYO.
Ndoa ni msingi imara katika malezi na mwendelezo mzuri wa vizazi na vizazi.
 
Kwa dunia ya sasa ndoa haina maana kwa mwanaume, labda mwanamke anaweza kufaidika na ndoa kwa sababu kuna masilahi yake yanalindwa kisheria, vile vile mwanamke akiitumia ndoa kimkakati inaweza kumtoa kimaisha, lakini kwa upande wa mwanaume marriage is a trap, disater, slavery and liability
 
Ikiwa msingi wa mantiki zako ni kila kitu kuhusu wewe ubinafsi basi sawa.

Lakini kama unaamini we are of God and live for mankind. Kujitia kwenye ndia ni sehemu ya furaha za duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…