Do you feel LOVED?



Hii post umeelezea intensively and i love it... ingawa naona umediverge from where tulipishana.... for the above is so true....
 

Interesting!
 
I've never felt loved in all relationships I've been involved so far. I've always loved and gave my all, but never got any of that in return!
Thanks for asking


Sherrif this post is so Sad - that just briefly i wish i was Single and free that at least for once you feel love hata ingekua brief!! However u urge usikate tammaa... kama umesoma hii thread yoote (thou kind of hard) kuna member Tatizomda alikua kama wee... yaani on and on and on anaumizwa but eventually akampata the one and they are married....
 
My life is better now than ever before ..
I'm so in love with myself ....🙂

Yeeeehhhh
Hiyo nafasi ya kuwa empty siipati na sina..

yeaaaaaah u gud
coz you av no coz for anythng but gratitude and joy...fall in LOVE WITH LIFE.
 
hazifanyi kazi kwa kuwa zinaingia kusiko
yaani zikifika kichwani mwako zinagonga na kurudi zilikotoka
Aisee yaani nisipofanikiwa its all your fault sababu umeniandama sana kiasi kwamba inawezekana iwe hivyo
 


Hii ulioongea hapa umeongea sababu kuna mambo yamekuwezesha kua na busara hio.... haiji tu bali inakuja from experience... observation... appreciation.... learning (yaani laki of majuto) and GREAT understanding... hivo ukiwa in this group you THANK God kua kakupa ujuvi huo for we do not choose who we are... For kuna watu reagardless ya yoote hayo nilotaja bado anashindwa kua mjuvi wa kupembua mambo and most importantly to learn from them..... Haya uloongea katika hii post... nakubali... na nakubali sio from its logic but tokana na the fact kua nimepitia and it is the exact way i felt and the same path i passed....
 
Hii post umeelezea intensively and i love it... ingawa naona umediverge from where tulipishana.... for the above is so true....
...YOUR WISH IS MY COMAND...CAN U COME AGAIN?kwamba tumit wea u wish me kunena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…