Do you feel LOVED?

Do you feel LOVED?

sory na nimekuelewa sana mtu wangu but ujui ur repeatation imenitouch vp?esp.ur few wise words.
can i prospond to xplain til next tm?im sory.let me chl kdogo laterz.wl PM u .

Pouwa... nimekupata na nashukuru kwa mchango wako... but ukitaka kungozea Miamia usisite kuleta tena hapa...

was intending to say repeatation and postpond typng era awali Asha...

Usijali.... nilikupata....
 
i think for agies now dunia tumekua tukiamini katika mapenzi baadhi ya vitu ambavyo avna mashiko wala mustakabal ktk mahusiano...tumekaririshwa kwa kiwango kikubwa kitu ambacho kinatugharimu...lakini WIVU nionavyo mm ni kweli yaeza tumika kama silaha moja ambayo inaeza kujenga au kubomoa.kikubwa ni je nn nafasi ya wivu katika mahusiano? au ni nn kinapeleka wivu katika mahusiano?
maaana mm ni muumin wa mahusiano bila wivu inaezekana BUT only if both of u ur truly CONSCIOUS about relationshp and love.
and what maters in io kitu...na mostly nimerialize wasiyo na hekima au busara au elewa vema kusud la maisha na mahusiano kama kipengere watasubukia wivu lkn vicevesa is true...ah ok bana ltr bt Jesus says somthng abt ths.UR NOT SUPPOSE TO BE ATTACHED to the anythng xcept himself.and if not try to understand this...THE MEASURE OF LOVE IS LOVE WITHOUT MEASURE.
 
Haya bana kanyaga twende..........ILA NINA MAJONZI SANA MIMI JAMANI.
 
Miamia what you have said hapa brings so much sense… and you have tried balancing WIVU on both sides of the coin, that those against would understand as well as those in support…

Nimepnda hio…. The Measure of LOVE IS LOVE without Measure…. That is deep and believe me you as much as that love does exist… it mostly AGAPE and that tangled with romance at minimal… for dunia imebadilika saana sasa hivi – whether we like it or not we have to face the facts…..
 
Nimekupata..sidhani kama huo naweza kuita wivu.. kama ulivyosema hiyo ni proud.. level ya satisfaction..ya kuona ..huyu ni wangu..

Mimi naamini wivu ni ule ambao unafanya hadi mtu unakereka.. ni karaha.. ni extreme..na una-negative impact..

By the way, nadhani kitu ulichosema ni tukubaliane ni kama a certain level ya wivu ambayo ni nature ya mwanadamu.. ni tolerable limit.. na kama unajua hatuwezi ku-discuss nature..kwani hata wanyama wa porini at the certain limit wana wivu..Binafsi nilikuwa nalenga vile vitu ambayo ni beyond nature..

Tatizo kubwa ni kujua the reasonable limit ambayo ni nature yetu..hapo ipo kazi..

This is what am talking about, Tulizo.
 
I've never felt loved in all relationships I've been involved so far. I've always loved and gave my all, but never got any of that in return!
Thanks for asking
Oooooh so sad Sherrif, ila usikate tamaa muda wako tu hujafika....kwani umemkosea nini Mungu? nina imani kila mtu duniani kapewa nafasi yake ya kupenda na kupendwa
 
Valentine day is one of those days ambazo haya mambo yafaa saana ku apply to get an answer... Hope you feel loved tomorrow....:tongue:
 
Ashadii, thread imetulia sana, mie kwa upande wangu huwa wakati mwingine nahisi maji kupwa na maji kujaa, yaani wakati mwingine najisikia napendwa saaana mpaka najiona im the luckiest woman living in this planet, na wakati mwingine najiona sipendwi, nakuwa mpweke, sometimes unawaza mpaka unalia mwenyewe, then baada ya muda unaona tena mahaba yamerudi, sijui hii nayo ni nini!....na hii hali hainifanyi nikate tamaa ya kukatisha mahusiano

Shantel yaani hiyo feelings hata mie nakuwaga nayo. Sijui ni nini kinasababisha hivi?!

@AshaDii, hii ni thread nzuri sana..sikuiona mapema!! You're so wise!!
Nashukuru kumpenda mtu na kuwa na imani ananipenda. Japo sometimes nakuwa sijielewi kitu kidogo kikinichanyanya. Chachu ya mawasiliano pia kuongelea jambo lililonikera muda huo inasaidia kuliko kukaa na kinyongo moyoni.
 
Ambao hawafeel loved na msimu huu wa wapendanao.....nawapa pole, waanze wao kushow love!! Lol

Umeona eeeh?? lol.... Hapa it is all about Loving and Loving and making Love..... Kipipi Do you feel loved?
 
Shantel yaani hiyo feelings hata mie nakuwaga nayo. Sijui ni nini kinasababisha hivi?!

@AshaDii, hii ni thread nzuri sana..sikuiona mapema!! You're so wise!!
Nashukuru kumpenda mtu na kuwa na imani ananipenda. Japo sometimes nakuwa sijielewi kitu kidogo kikinichanyanya. Chachu ya mawasiliano pia kuongelea jambo lililonikera muda huo inasaidia kuliko kukaa na kinyongo moyoni.

Thanks em' lips....lol... I am humbled. Tena nakuomba kama huna nafasi leo, hifadhii hi Link, members walimwaga ujuzi madhubuti humu ndani... zipo so constructive kwa mahusiano. I am happy for you... for the Love you feel and for that you give and receive. Inapendeza... Hii inanipa hope you will have a wonderful valentine tomorrow....
 
Umeona eeeh?? lol.... Hapa it is all about Loving and Loving and making Love..... Kipipi Do you feel loved?

Why not my dear?? Being single doesn't make me out of the site...lol!! And.... ofcoz.....tomorrow am gonna pop up with the needful!!
 
Valentine day is one of those days ambazo haya mambo yafaa saana ku apply to get an answer... Hope you feel loved tomorrow....:tongue:
Wengine tumegundua a new concept: MasturDating (Courtesy of King'asti)
 
We Ashadii unafundisha wenzako kuchunguzana eeh!Ntakusemea!
 
Back
Top Bottom