Aisee yaani nisipofanikiwa its all your fault sababu umeniandama sana kiasi kwamba inawezekana iwe hivyo
Moria mie nakubaliana kabisa nia hii... ndio maana wale woote wanaopinga wivu I ask them... unataka mpenzi wako aku treat as if ni dada/kaka??
For haiwezekani mimi kama mke.. mume wangu aone tu sawa nizungukwe na wanaume wengine kila saa as fi niko single... inakua kweli hakupendi... but hio ni mawazo yangu....
yeaaaaaah u gud<br />
coz you av no coz for anythng but gratitude and joy...fall in LOVE WITH LIFE.
Nakubaliana na wewe. Sijakata tamaa na kama ukipenda in return you don't get what you give, then that doesn't mean you should stop showing that you love and care.Sherrif this post is so Sad - that just briefly i wish i was Single and free that at least for once you feel love hata ingekua brief!! However u urge usikate tammaa... kama umesoma hii thread yoote (thou kind of hard) kuna member Tatizomda alikua kama wee... yaani on and on and on anaumizwa but eventually akampata the one and they are married....
Okay okay great great usisahau kutafuta sehemu yenye popcornEndelea kucheka...
Ngoja ni book Top Ten holiday park lolz 🙂
TF ni mchokozi mbaya na ananitafuta sana na sasa wanashirikiana na jamaa hapo juu kutafuta kupata ukweli how i dump someone i love
siyo dongo bana...thats my PROVERB.
napenda sana mtu eote anaependa fact ata kama inamuhusu yy mwenyewe basi anakua yupo tayar kujidadavua kwa kuelewa au kutoelewa no mata wat.
kitu ambacho mm naamini ndiyo nguzo ya mwelevu.
Nakuja ngoja nikanawe uso kwanzatatizo usitake kurusha ngumi kwenye ukuta maana hutofa.nikiwa
Na kama imeandikwa ipo tuu hata mtu azibe na zege bado ipo tuu so usije ukalemaa ukisema mhh sitofanikiw akwa kuwa rocky kashasema
BTW DO YOU FEEL LOVED
Nimeona walivo kubana... why not just tel em' You say that because of your sig....lol
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
Nakuja ngoja nikanawe uso kwanza
sory na nimekuelewa sana mtu wangu but ujui ur repeatation imenitouch vp?esp.ur few wise words.Hii ulioongea hapa umeongea sababu kuna mambo yamekuwezesha kua na busara hio.... haiji tu bali inakuja from experience... observation... appreciation.... learning (yaani laki of majuto) and GREAT understanding... hivo ukiwa in this group you THANK God kua kakupa ujuvi huo for we do not choose who we are... For kuna watu reagardless ya yoote hayo nilotaja bado anashindwa kua mjuvi wa kupembua mambo and most importantly to learn from them..... Haya uloongea katika hii post... nakubali... na nakubali sio from its logic but tokana na the fact kua nimepitia and it is the exact way i felt and the same path i passed....
yeah interesting but hard to do
What is your experience then
Sioni vizuri kwenye screenKwani uso ndio unaoandika
Njoo hapa ujieleze na utupe experiance yako
Okay okay great great usisahau kutafuta sehemu yenye popcorn
Asha nakubaliana na wewe kwenye mapenzi kuna wivu ila ukizidi ni balaa. Ninachotaka kutofautiana na ntaendelea kusimamia mtazamo wangu ni kuwa binadamu tuko selfish (by nature) mimi nina wivu haswa kwa mume wangu ila si always inategemea na situation kwani kwa kuwa nae muda mrefu nian mjua vizuri na nina more trust kwake than wivu; lakini sipendi yeye anionee wivu japo sitaweza ku mcontrol kwani yeye ni in charge wa feelings zake. Napenda kusema kuwa siwezi kupalilia wivu ila ntapalilia imani yake kwangu nadhani umenipata. Ila nafahamu kuna watu wana force kuonewa wivu thinking kuwa ni kipimo cha penzi. To me I want to be trusted but nina wivu kwake. Na nadhani hata yeye ana penda kuwa trusted ila ana wivu kwangu.
Nimeshashuhudia wadada wanatandikwa vibao na boyfriends (imagine just boyfriend) afu unasikia wanasema jamaa ana wivu kweli. Yani they enjoy being treated that way. That is why I say wivu my foot.
Mimi natafuta trust kwa hiari au hata kwa lazima nikiwa na maana kuwa sometimes na ignore comments na lawama zisizo na msingi na hiyo imenisaidia kuwa na uhuru wa kutosha kupanga mambo ya maendeleo bila kubughuziwa. Na kumjenga jamaa kunipa freedom ninayo deserve.
Ndio maana sielewi mtu anaponambia napenda kuonewa wivu; badala ya kusema napenda kupendwa. Wivu na kupenda vinaambatana mara nyingi lakini wivu si kupenda ni selfishness. Ukiwa less selfish na wivu hautakuwa tatizo kwako. Ndio maana watu wanaojuana vizuri na kuaminiana wanakuwa hawaoneani wivu wa kijinga na wakiwa na doubt jua si bure kuna ka ukweli.
Nakubaliana na wewe. Sijakata tamaa na kama ukipenda in return you don't get what you give, then that doesn't mean you should stop showing that you love and care.
The bottom line is:to love is more about giving and we should continue giving our all even if we do not get either of that in return. Tenda wema uende zako..........
sory na nimekuelewa sana mtu wangu but ujui ur repeatation imenitouch vp?esp.ur few wise words.
can i prospond to xplain til next tm?im sory.let me chl kdogo laterz.wl PM u[/QUOTE
was intending to say repeatation and postpond typng era awali Asha...
aaaaiiiseee! Naona wee ni mtaalam wa kubadilisha maana....lol