what a good topic. i dont feel loved
Wivu katika Mapenzi ni moja ya aspect muhimu… But hata hivo viwango vya wivu ni muhimu saana kua observed kati ya Wapenzi wahusika… Wivu wa kukithiri katika Mapenzi; from my observation katika jamii, husababisha madhara makubwa kama kufanya kitu wawza jutia… Kuua (Mpenzi ama mwizi wa mpenzi) na hata kujiua mhusika… Mbaya saaana hii…
However Wivu Mno ni mbaya… ila Wivu at minimal katika Mapenzi ni muhimu for hua kama chachu ya hao wapenzi.. Wivu ni moja ya njia ya kujua kua Mpenzi wako anakupenda ama lah! (Sina maana ufurahie mtu wako akiwa over possessive! No - Ila reasonably possessive)
:flock:...koh-koh!...Lucky You!! Mind sharing dear....:lock1:
- Jealousy….
...Hivi, unapokuwa na mwenza ambaye "hakuonei" wivu kabisa, yaani hakuulizi unakwenda wapi, unarudi saa ngapi, unakwenda kuonana na nani...yaani wewe urudi mapema sawa, urudi kesho alfajr sawa...hiki nako ni kipimo gani cha mapenzi, au amejaaliwa daraja kubwa la uvumilivu?
Mbu NO WAY!! Labda awe mwanamke ka react hivo I would understand.... ila sio mwanaume ambae kweli anampenda Mwanamke wake... kweli kaja asubuhi na uone sawa tu? Mbu can U? Yaani sitaki kuamini....
...dahh, sitaki kuweka ushuhuda wangu hapa...ila kwa 'mtazamo' wangu ni dalili ya kuchokana, ingawa pia nishamsikia mtu anadai yeye "anamuamini sana" mumewe, ..hata arudi alfajr almuradi karudi nyumbani, hamuulizi!
Kwa hio ume note you are wasting your precious time eeh? Alafu kingine Dadam kwa dada mwenye age ya 27 inabidi uwe makini sana in choosing your patners... na beta yet hii sio age ya kuchanganya guys waachie wadogo huko; for waweza pata a good guy na ukayachanganya kwa kumchanganya.... Best of Luck katika kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako dear...
hii imenigusa , mm nimekaa n man 2yr and half, he never said ilove yu , alikua ananiambia ican not promise u ,bcz nina matatizo. only nimsikilize problem zake tu igot tired and walk away , he never bothered to look for me any more till now, kwa hiyo n kweli but why? why men munafanya hiv?
Na nilikuwa nakusubiria kwa hamu Roulette, hatimae umekuja na a new thing!! Hivi unajua Kipipi umemwacha empty hapo......ebu make her understand it bana lol!!
I feel loved and I also love...just know my hot buttons.....hahaha.... mimi niliaga kama 45 minutes ago bado niko hapa...lol. But soon nami natoka nipo hoi, naona tumezeeka woote.
BTW Do you feel Loved? lol