Elections 2010 Do you know why not Dr Slaa 2010-2015?




una kilema cha akili , tatizo ni kwamba hujitambui!!

Where the heck is Rev. Masa, watu kama hawa hutakiwi kuongea nao kwa maneno .. ni wa wazito wa ubungo! Picha tu ndo wanaweza kuelewa!
 
Nina uhakika asilimia kubwa ya wanavyombo vya usalama, wanayafahamu haya yote tunayoyafahamu sisi. Wanafahamu jinsi ndugu zao wanavyoishi ktk umaskini wa hali ya juu, wanafahamu jinsi, ndugu zao wanavyopata shida ya matibabu, wanafahamu jinsi familia chache sana hapa Tanzania zinazonufaika na maliasili ya nchi hii, na wanafahamu sana kile Dr Slaa anachokipigania. Nacho amini ni kwamba, kuna kundi kubwa tu ndani ya vyombo vya usalama nao wamechoka kama watanzania wengine. mantiki hiyo, nadhani, mziki utakuwa mzito sana, na kuna hatari ya watu kuasi na kuwa upande wa wananchi.
 
Kama Mimi sielewi mbona nchi yetu masikini? Off course there are few good things that CCM has done, to very few Tanzanian like u rich man thus why u still support CCM because u know what it has done to u and due to Ur ignorance u can not think about poorer s,those live in difficult life,health and so many thing which Ur brain can not recognize that because Ur selfish like Ur father CCM .:smow:
 
thanks MR MAZINGIRA Ni kweli huwa wanaiba pale tofauti inapokuwa ndogo. Lakini Slaa akipata kura mil 11 na Kikwete kura mil 3 hawana ujanja inabidi wakubali tu. Lakini kama Slaa akipata kura mil 8 na Kikwete mil 7.2 hapo wanachakachua kabisa hawa watu, hawaaminiki hata kidogo.
THANKS 4 UR EXCELLENCE ANSWER AND THAT IS TRUE,so tunachotakiwa kufanya ni kila mtu akapige kura na kuwashawishi wenzako wawili hapo mtaani ili warudi kundini(CHADEMA) na kuweza kwenda kupiga nao kura.:llama:
 
Bwa ha haha,
Omar bana, eti anamlinganisha Mbowe na Rostam
Unafiki na uzandiki wa kiwango cha juu kabisa toka kwa consultant wetu.

Akiiba Mwafrika mwenzio ni sawa. Ila akiiba Bulushi ndiyo tatizo. Huo ndiyo UNAFIKI haswa. :hand:
 
Tunaomuunga mkono Dk. Slaa tutapiga kura? Mashabiki wengi wa Chadema waliopo mijini na miongoni mwa wasomi hawakujiandikisha kupiga kura na hivyo hawatapiga kura! That is very bad. TUMESHAMUANGUSHA! TUJIANDAE TU KUKUBALI MATOKEO!



 



una kilema cha akili , tatizo ni kwamba hujitambui!!

Where the heck is Rev. Masa, watu kama hawa hutakiwi kuongea nao kwa maneno .. ni wa wazito wa ubungo! Picha tu ndo wanaweza kuelewa!

Ama kweli nyani haoni kundule. Yaani ulichoandika wewe na unachoshangilia huyo anayebandika picha ndiyo khaswa kilema cha akili. Pumbafu! :tonguez:
 
nakubaliana juu ya ccm kuiba kura, lakini mbona hatuendi mbali kujiuliza, mbona kwa ndesamburo hawaibi?? na kure tarime kila siku wanaanguka?? karatu napo miaka 15 hawakuweza kuiba?? mfano wapiga kura asilimia 90 wakampa slaa wataiba ngapi?? haiwezekani,
sisi tukapige tu kura kuikataa ccm. Mwaka huu inawezekana, kama 1995 pamoja na nguvu kubwa ya mwl Nyerere hawakushinda
kiivyo itakuwaje kipindi hiki ambapo hata wastaafu ndani ya chama hawana hamu na ccm?? Ndugu zangu inawezekana kabisa ccm
kutoka tena kama kumsukuma mlevi kwenye mteremko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…