Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 481
uchochezi na vurugu haziwezi kusaidia bali zitatuletea shida zaidi ya hizi tulizonazo!!! Tuacheni tuishi kwa amani na wala hatutaki tanzania izae wakimbizi!!! Nchi zote zinazotuzunguka zina vita na migogoro!!! Sasa huku kwetu kukitokea machafuko tukimbilie wapi? Au chadema munatuahidi mahali salama pa kutupeleka pindi pakitokea machafuko? Mbona chadema kila siku munaongelea vita na uasi? Sera zenu ni kumwaga damu za wa tanzania? Hivi hamuoni raha mpaka muzungumzie kumwaga damu zetu? Kila siku matishio! Munatoa siku saba kwa maafisa wa jeshi, yaani yale ya lyatonga mrema miaka ya 90 ndio sasa zimekuwa sera zenu za vitisho!!!
nahakika mwalimu nyerere angefufuka leo na kuona vurugu na sera hizi za chadema lazima angesema (siwezi kuwaachia mambwa watawale nchi yangu)!!!
asiesikia la mkuu huvunjika guu!!!
una kilema cha akili , tatizo ni kwamba hujitambui!!
Where the heck is Rev. Masa, watu kama hawa hutakiwi kuongea nao kwa maneno .. ni wa wazito wa ubungo! Picha tu ndo wanaweza kuelewa!