Do You Support Gay Rights In Tanzania?

Do You Support Gay Rights In Tanzania?

Sina wala sitaki.
Njoo uniambie na mimi ntakwambia mpaka alichoniambia jana.

Okay sounds good ...
Ukianza zile sio leo bana labda kesho ..
Utakiona cha mtema kuni ...
 
Tazama ramani,utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kichwa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania.............
 
wewe ni She au He?

Tazama ramani,utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kichwa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania.............
 
Boflo unaupendeleo besti...
 
Sina shida kabisa na homosexual .... at least wanajitambua ...

Itanichefulia wapi wakati niko busy na mambo yangu binafsi? Hata muda wa kukaa na kufikiria bila kukumbushwa kama hivi sina.
Nyie warembo mnayo haki ya kusema I dont care as long as wanajitambua na mko busy na mambo yenu........
Lakini pale toto lako la kiume litakapo kuletea "mume" wake badala ya mke..................you cant stand it, inauma
Omba Mungu na uwalee watoto wako katika maadili waepuke hii laana

Seriously acheni kushindilia watoto "wenu'
Watoto tunawazaa matunzo bora tunawapa wakiwa watu wazima tuko hapa kama washauri tu.... na watakachofanya maishani mwao ni uchaguzi wao... ....

Kwa kifupi ni kwamba hatuna uwezo wa ku tabiri future ya watoto wetu ....
 
Back
Top Bottom